Wanawake mumesababisha Gym zifurike

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,981
45,903
Mahitaji yenu yamesababisha mafuriko kwenye gym......

Vijana wapo busy kujenga miili ya mazoezi....

Vifaa vya mazoezi kama raba, vyuma, kamba sasa vinauzika....

Vijana wanakimbia na kupiga pushups, sut ups kila asubuhi na ijioni....

Ila sasa wale wafupi we are disadvantaged, maana tunazidi kudidimia....

Miondoko imebadilika lakini, tunatembea kama tuna majipu kwapani....

Wanawake mkiwezeshwa mnaweza....
 
Ha ha ha! Ni kweli kabisa mafuriko ya kwenda gym yamevikumba mpaka vitoto vya sekondari. Ni jambo zuri kufanya mazoezi bila kujali driving factor. Sijui, kama sababu hiyo uliyoisema ni driving force kwa wote!

Mimi binafsi ni mwanamichezo, hivyo nimekuwa nafanya mazoezi tangu nikiwa mtoto mdogo. Mbali na kucheza mpira na jogging, pia naingia gym.

Faida za mazoezi kwangu (excluding sababu uliyotoa ya kufurahisha mwanamke) ni;

1. Kuimarisha afya ya mwili, moyo na ubongo (ambao ni driving power ya mwanadamu).
2. Kujiamini (nakuwa na confidence zaidi).
3. Socialization (nakutana na watu wengi huko na kujuana zaidi ...)
4. Kuondoa stress (Kwa sisi mabachelor inatusaidia mno; Kwa kijana, kuliko kukaa home eti unaangalia series ni bora ukautumia muda huo kufanya mazoezi). Nk
 
Ni kweli mkuu hata mimi sasa hivi niko hapa Gym na Pasha kidogo kabla sijapiga Squats
 
Acha wao wajenge mwili we mkuu jenga kusudi za kusaka hela ili uje uwagegedee wake, wapenzi, mademu zao

Maana wanaume wa hivyo huwaga ni tako tano tu mara wareno hawa hapa

Japo wanapiga mazoezi
Mazoezi muhimu ila sio Yale yakutaka sifa mbele za watu kisa mwanamke anataka sixpacks.

Unafanya mazoezi magumu menyu ya kudandia hahahaha

Tusake hela
 
Back
Top Bottom