Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Kuna wakati wadada naona hawako seriously.... Unakuta mtu anaomba Mungu daily mpaka kwenye status anaandika "GOD BLESS MY RELATIONSHIP "Wakati huo ana date na wanaume 11......sasa si bora aseme God bless my TEAM