Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia...
Habari wakuu,
Naomba nilete kwenu jambo langu mnishauri...
Mchepuko wangu bana unapenda sana utani...Tena nimeshamkataza tabia hii ya utani utani muda mrefu haachi...Yani yeye nikichat nae...
Jana jioni iliingia sms kwa simu yangu, "tafadhali nipigie..". Nikajua labda ni mtu anayenifahamu, nikapiga. Ilipopokelewa tu swali la kwanza, "wewe nani?" Nikawa mkali kidogo maana yeye kama...
Tarehe Moja Nilipoandika UZI Humu TENA Nikijiamini Kabisa Kama Kawaida Yangu Wapo Walionijibu Kwa KUNITUSI, KUNIKEBEHI Na Hadi KUNIDHALILISHA Na Bahati Nzuri Sana Hata Posts Zao Zipo Katika Ule...
Wanajamvi, mimi sjambo.
leo nimejibazanza hapa kwenye ukumbi wa habari maelezo, nikiwa nimetizama ofisi za NHIF, jamani ndani ya dakika tano wamepita wadada, jinsi nilivyo ona na kwa ozoefu wangu...
Ndoto za dr.Pimbi, hahaa@@
####Kuna siku nilikuwa maeneo ya Mjini kati
(City Center), nikaipenda suruali moja ya
shilingi 15,000/= na pesa sikuwa nayo
ikabidi niende kutoa kwenye ATM ya
Postal...
kama nilivyoikuta hapa
best diamond platnumz won best insurance award
source: Insurance: best diamond platnumz won best insurance award - Kwetu Shy blog
Eti huyu shori anataka nianze kumfukuzia na ameniambia kabisa kwamba inabidi nitie bidii kumfukuzia lkn mimi nimegoma kwa maana najua kwamba msela alikuwa anapiga kabla ya hapo wakamwagana, sasa...
Kuna jamaa walikuwa wanavuta bangi, kiberiti kikaisha. Wakamtuma mwenzao mmoja nje akatafute kiberiti, yule jamaa aliyetumwa akatoka akazunguka na kurudi tena ndani kwa wenzake akawauliza 'jamaa...
Pale unapo kuwa nauhusiano na binti wa kinyaki....Afu we Mtanga
Elly: hellow baby
Atupile: Yes hubby
Elly: Unaona hali ya hewa kimvua kinashawishi...
Atupile: haswaaa tena kwa kilimo cha...
Hello, Hello,
Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi...
A young boy says to his father "Dad, our math teacher is asking to see you."
"What happened?" The father asks.
"Well, she asks me, 'how much is 7 * 9?' I answer '63' , then she asks, 'and 9 *...
Ebwana wanaJF Mzuka!
Amani iwe kwenu. Yani ni zali ya aina yake. Ni hivi ukiondoa JF masaa hayapiti kama sijasoma Daily Mail online UK. August 2015 walileta habari ya mwanamke muingereza ambaye...
Husika na kichwa cha habarini hapo juu.
Nikiwa memba wa JF tangu 2012 lakini kwasababu zisizoelezeka nikapoteza nywila ya kitambulisho changu cha awali,ikabidi tena nijisajili mwaka 2015, sasa...