JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Happy doctor’s day to all the doctors hapa Tanzania na duniani kote tunaheshimu mchango wenu katika huduma ya afya na maisha yetu ya kila siku. Happy doctor’s day once again.
2 Reactions
13 Replies
861 Views
Watu wanaokosa lugha za staha wananiuzi sana. Ila nyuzi zilizonifurahisha nikacheka sana in 2025 ni 👇 ...
11 Reactions
47 Replies
1K Views
Vp maeneo uliyopo au hali ni kawaida?
10 Reactions
113 Replies
3K Views
--- BTW - Mwenye kujua jina la mwimbaji / jina la wimbo sikiliza dakika ya 2:53
5 Reactions
12 Replies
742 Views
2006 ulikuwa wapi? Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
28 Reactions
670 Replies
22K Views
Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF. Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa...
1 Reactions
2 Replies
374 Views
Nimeandika andiko kwa ajili ya kutafuta hela za ujenzi wa chuo kikuu matata, ambacho kitakuwa kinafundisha mambo ya biashara kuanzia ngazi ya cheti mpaka PhD. Katika andiko hilo, nimependekeza...
1 Reactions
1 Replies
215 Views
Unapotoa lifti kwa baadhi ya watu tegemea mambo haya, - Wizi/ukwapuaji - si ajabu umempakiza mkaka mtanashati au mdada mlimbwende lakini anaposhuka akaondoka na kitu chako hasa hivi vitu vya...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Ukitumia somo la historia, kama somo la kukupa mbinu za kupambana kimaisha, linaweza kukusaidia. Ebu fikiria ukoloni ulivyoingia Afrika, kwa kutumwa wajumbe mbalimbali kuja kufanya utafiti na...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
1 Reactions
6 Replies
574 Views
Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda hakupendeka na kutumia njia ya kistaarabu kumuacha kwa majonzi, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa penzi la dhati Nakupenda mpenzi amini...
16 Reactions
457 Replies
27K Views
Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote." Ukweli unaokoa muda na...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Hellow Leo hatupiki leo tunatoka out kidogo kusafisha macho Kwanza nilianzia kanisani kubugujika kidogo baada ya hapo nikawa nawaza kichwa kizito so niende sehemu ya karibu na hapa nikaona ni...
4 Reactions
20 Replies
989 Views
Mzuka Wana jamvi. Yerereeee rereeeeee!!!! 1. Imekaa kinyamwezi 2. Iko really 3. Toka nijiungeJf sijawahi kuibadilisha 4. Ina vitamin zote 5. Sina haja kutongoza humu mademu automatically...
18 Reactions
85 Replies
3K Views
Wana jamvi kidogo mnaweza kukusaidia hili. Kwanini mtoto akizaliwa wanasema lazima alie. Umewahi kujiuliza kwanini asicheke? Ama anamaanisha ameingia kwenye Dunia ya tabu shida na dhiki kubwa...
2 Reactions
7 Replies
412 Views
Scenario 1; Mwaka 2016, Novemba, Dar es Salaam, Sinza, lodge ya Twiga: Tulikuwepo tupo mitaa ya Katalaunya pale na wanangu km watano hivi tunakula maji/pombe za kutosha. Ilivyofika mishale ya...
23 Reactions
398 Replies
40K Views
kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa) Anyway nakumbuka niliomba...
5 Reactions
16 Replies
912 Views
Huyu mtumishi namkubali anakula mshahara wa halali Ametukumbusha kuhusu matepeli Kwa siku tutapokea SMS hazipungui 10 za SITAPELIKI Sasa😅 imetosha kaka, ujumbe umeeleweka Na hakika SITAPELIKi...
17 Reactions
27 Replies
970 Views
Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa. Dhumuni ni kufahamiana. Wa T.A tujimwae mwae humu. TANGA NDIO HOME
28 Reactions
1K Replies
113K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…