JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Gari niliyonunua milioni 5 nikiwa nimeitumia miezi miwili tu niliiuza kwa milioni 1 na laki 3 kumaliza kesi flani isifike mbali tumalizane kimya kimya, pesa ilikuwa inahitajika fasta hivyo mteja...
37 Reactions
140 Replies
7K Views
Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka...
13 Reactions
75 Replies
2K Views
Huwa nachukukizwa na tabia ya wanawake ya kujipikilisha unakuta mtu anapika wali na nyama masaa kibao mpaka unashangaa. Hii tabia inaboa sana.
10 Reactions
72 Replies
2K Views
Mimi ni Wakiume bado ni Mwanafunzi wa chuo flani hapa Dar es salaam lakini ni nimepata kapesa kadogo .Nipo na 4.5Million nifanye biashara gani ase maaana sitaki kapotee? 😭😭
12 Reactions
102 Replies
3K Views
Adolescence stage ni kipindi kati ya miaka around 16 hadi 22 hivi. Ni umri wa kubalehe kwa mwanaume na kuvunja ungo kwa msichana. Kisayansi unaitwa foolish age kwa sababu kijana ndo anaachana na...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
SOURCE: Grok. Ikiwa ningekuwa nikicheza nafasi ya adui mjanja kama Shetani, labda ningejaribu kuchafua kichwa cha mtu badala ya kutafuta kitu chochote cha kustaajabisha sana au dhahiri...
6 Reactions
8 Replies
531 Views
Hayu jamaa suala la Kula, kwake ni sawa Sawa na kuvuta oxygen ndiyo maana kipindi cha mfungo hubadili jina. Najua mnaokwepa kufunga mko wengi humu ndani, hebu mniambie mbinu nitakayoitumia...
12 Reactions
95 Replies
2K Views
Ukitafuta Bar UK kwenye ramani utapata za kutosha.
5 Reactions
4 Replies
482 Views
Kama akili yako iko sawasawa usijibu wala kuweka reaction yoyote kwenye uzi huu. Ukijibu tu ujue una changamoto ya afya ya akili.
2 Reactions
5 Replies
386 Views
Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Unaona wanyama wangapi hapa? Wataje
5 Reactions
17 Replies
707 Views
Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Kama picha inavyoonekana hapa ni eneo gani exactly
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Nakushauri we ulie na smart PEKEE mda muafaka kanunue na katochi Kana saidia sana sanaaa Hasa kwenye shida ya chaji kwa kweli hakatanii Pia kama UNATAKA namba zako za Siri unaziweka kule so HATA...
3 Reactions
2 Replies
498 Views
Hapa ndipo tulipopata misemo mingi sana kama ule wa kudadadeki (Nafikiri joti aliutoa katika msemo wa "kulaleki" ukikuwepo tangu 90s), umefulia, etc miondoko ya aina yake, hapa ndipo...
21 Reactions
71 Replies
3K Views
Hakuna haja ya salamu. Jana nlienda beach flani ya kishua huko pembezoni ya beach. Nikawa nime cool tu napata moja baridi,moja baridi. Sikujua kama Tanzania kuna joto hivi. Nimeingia Ijumaa...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA...
0 Reactions
3 Replies
475 Views
Wakuu, Najua kila mtu ana stori au jambo lake ambalo akilisimulia hapa watu tutafurahi, Katika jukwaa hili la jf, unaweza ukaanza kusoma replys za wadau hata kama ulikuwa peke yako unaweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nahitaji kujua tabia za kabila la wamwela, wangoni, wapare:help::help::help:
0 Reactions
23 Replies
19K Views
Mi nakapenda sana haka katoto atoto wewe je?
9 Reactions
1K Replies
69K Views
Back
Top Bottom