JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
- Mbaba anayemiliki kipara hasa kile cha kung'aa - Mbaba mwenye kitambi - Mbaba anayevaa suti akiongezea na tai ndo ina thibitisha ana vibunda vya kutosha - Mbaba yeyote anayevaa miwani hata...
5 Reactions
16 Replies
613 Views
Leo ni tarehe 0! :Loading:Tarehe ya leo ni ya kipekee kabisa, inaundwa na number 0, 2 na 5 pekee 25-02-2025. 2(5-0-05)=0 :PensiveWobble:!
5 Reactions
10 Replies
860 Views
Kama usiku ukikosa usingizi unafanya nini? Mimi naimba pambio
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Mama zetu wa kipindi cha nyuma walikuwa hawaachi maagizo Moja kwa moja.Lazima aseme kwa mafumbo Mfano akitaka kutoka anataka kuwaambia mfanye kazi fulani utasikia. Msiende kusanga hayo mahindi...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga. Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
#PilikaPilika: Kwa tafsiri rahisi “Msela” ni mtu wa aina gani? #PilikaPilika #HainaKuchoka Msela ni mtu asiyejali chochote. Apate chakula anafurahi. Asikipate anafurahi. Aibiwe anacheka tu...
3 Reactions
9 Replies
934 Views
Najua wengi hawawezi amini mimi ni kijana wa kitanzania niliyesoma na Elon musk na huwezi amini alikuwa mweupe sana darasani. Kwa wale wabishi nitapublish picha ishirini nikiwa nae darasani pale...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Happy New Week, Kama thread inavyojielezea, jitahidini kukontrol ndoto, baadhi huambatana na mambo ya aibu kama ukiziendekeza. Jamaa yangu juzi kanipigia stori yaliyomkuta. Kama kawaida...
9 Reactions
8 Replies
426 Views
Wakuu`huu uzi ni maalumu kwa video za kuchekesho,vioja na video fikrishi
1 Reactions
4 Replies
554 Views
Kwamba, kila mtu ni tajiri… Kila mtu ana gari/ magari. Kila mtu ana digrii. Kila mtu ana nyumba. Kila mtu ana nguvu [nyingi] za kiume. Kila mdada ana umri chini ya miaka 20. Kila mtu hivi...
30 Reactions
144 Replies
4K Views
Kukosa hela hakupendezi.. Ni hayo tu
16 Reactions
118 Replies
2K Views
Wanawake wengi Pwani , Dsm , Lindi na Mtwara hawavai kabisa nguo za ndani ( chupi). Unamkuta mwanamke kavaa dela , khanga , gauni, taiti au suluari lakini ukimkagua unaona ndani ni kama...
7 Reactions
46 Replies
7K Views
eti wakuu? Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa? Je mnajiona mkitoboa miezi 6 au tuwaache kwanza?
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Watu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa JamiiForums ahaa naondoka nimechoka.
4 Reactions
149 Replies
7K Views
Wakuu, Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni. Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo...
2 Reactions
8 Replies
620 Views
Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma. Utasema ooooh...wengine...
14 Reactions
73 Replies
2K Views
Hizi tuzo naona kama wanagaiana wenyewe ni kama wamepanga matoke yao huyu dada hajui kitu huyu esma na mama mawigi hakuna kazi wanafanya
4 Reactions
18 Replies
746 Views
Leo asubuhi kwenye redio ya kabajaji, wakati nakuja kwa mkoloni:Haka kawimbo ka TOT kalinitafakarisha mengi sana: Ooooh oooh *****, Usilie na mimii mamaeee, Mpenzi wako mimi sijamwita eeeh, Kaona...
2 Reactions
142 Replies
14K Views
Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!! Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!! Ama nilizingua? BRAZA CHOGO Nikifa...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Back
Top Bottom