JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Part 1: Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu. Jamaa...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Does everyone in your team EAT ?! Au Boss tu ndio anafaidi..?! Kwenye timu yako kila mtu ana uhuru wa ku-order anachotaka au wanasoma upepo wa Boss kubwa kwanza; kama anapiga K-vant basi hawa...
3 Reactions
8 Replies
439 Views
wadau, kwa wanaowajua wanawake wa kifipa plz plz naombeni mnipe japo kwa uchache sifa zao..................mwenzenu nimenasa nataka kutangaza ndoa. Sitanii.
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Kuna mahali nimekuta mtu ameniandika hivi Like why? Mmeniona wapi? Wowowo gani tena? Nyiee me mke wa mtu msiniandike andike plz, Wowowo kwiyoo?
7 Reactions
138 Replies
5K Views
Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa. Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba...
14 Reactions
99 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa moja ya manibii muhimu na wakuaminika hapo daslam, ni kuwa kuanzia mwezi huu wanne wanaume wengi watapoteza nguvu za KIUME na makende kusinyaa. Nabii ametoa wito kwa wanawake...
2 Reactions
3 Replies
427 Views
Kwema? Mimi nikinywa pombe nakuwa active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakuwa ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa...
6 Reactions
22 Replies
948 Views
Tlaatlaah na ChoiceVariable Piga kura yako
5 Reactions
10 Replies
547 Views
Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia. Basi bwana .... Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema...
47 Reactions
289 Replies
18K Views
Yaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
16 Reactions
92 Replies
3K Views
Wana Chitchat habari ya mchana Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni...
2 Reactions
143 Replies
20K Views
Heri ya sikukuu ya Idd, ila kuna vimbwanga mitaani hasa tunaishi wilaya ya Temeke. Watu wanazulula mtaani na watoto Hadi usiku kupiga picha na Bar zimejaa watu wakorofi kidogo Tu wanarusha chupa...
3 Reactions
16 Replies
885 Views
Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Haiwezekani nishindie chapati wakati nilikuwa nasikia mapochopocho!!, Hata wa humu jukwaani mmeshindwa kutoa mualiko nawakati nilikuwa nawasindikiza vyema kwenye mfungo wenu!. Sasa kwa taarifa ni...
4 Reactions
9 Replies
345 Views
Nimezaliwa tarehe na siku kama ya leo,ilikuwa sikukuu ,namaanisha tarehe 31:jumatatu
5 Reactions
11 Replies
442 Views
Yu wapi Nyani Ngabu ?huyu jamaa miaka yake amekula sana watoto wa humu. Akija TZ toka Marekani anakobeba mabox anarudi na Dollar. Anawakwangua sana mabinti wa JF. Amekuwa kimya siku hizi. Angalau...
4 Reactions
5 Replies
440 Views
Ooooy! Niaje wakuu, Kwanza kabisa Nina furaha kubwa Sana kwa siku ya Leo kuonekana tena Jukwaani hapa Mara baada ya kipindi kirefu mno tangu Enzi zile za Kina Gentamycine, Nyani Ngabu na Genge...
1 Reactions
11 Replies
586 Views
Niaje wakuu, bonjour comment cava! Kama title inavyosomeka, share chochote unachoona unakifanya kwa utofauti kinakusaidia kwenye mahusiano yako,kazi/ajira yako, biashara yako, ama elimu yako. Au...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Back
Top Bottom