JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ili kukata kiu ya RAIA wengi waliokuwa wakihoji kwa nini mtukufu, mwenye heri Mkuu hawapigii simu kituo cha habari cha nchi hiyo hatimaye Leo Rais wa chama cha wasukuma mikokoteni bwana Pangu...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamaa wawili walikua wamekaa pamoja, mmoja akamwambia mwenzake: Leo nimeota niko UFARANSA,yule mwenzake akasema: na mi leo nimeota nimewaalika watu kwangu. yule jamaa wa kwanza akahamaki sana...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna siku nilifulia ile mbayaaaa kipesa nikaamua kumuomba Demu wangu aniazime 10,000/= akanipa... Baada ya siku mbili / tatu nikapata zali la pesa zaidi ya laki 4 hivi , ( NILIBET ) Nikaamua...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Dah... Kutokana na mapenzi mazito uliyonayo kwenye pesa... nimeona hii zawadi itakufaa sana...uwe unafyatua tu... [emoji13] [emoji13] [emoji13]
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BINAFSI SIMO ILA NATARAJI KUWEMO ILA PIA SIO LAZIMA WEWE KUWEMO ########################### MOST MESSAGES MOST LIKES MOST POINTS HONGERENI WAKUU
12 Reactions
122 Replies
7K Views
Mwanariadha mwenye mbio zaidi ulimwenguni Husain Bolt inasadikika kuwa tayari kashafika mwaka 2017!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bolt Hatakagi Stress!!!!!!
2 Reactions
2 Replies
895 Views
Hello wapenzi Nimewamisooo sana Pokeeni busu murua kutoa kwa Cutiiie [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni sehemu ambayo ninayoweza kuiruhusu akili yangu kutulia na kupunguza stress. Huku story na mada zilizoshiba ndio nyumbani Kwao,yaani tamu isiyoisha hamu!! Comment za kufungua utambuzi na za...
1 Reactions
0 Replies
723 Views
Huenda zikawa ni bombadier za Taifa letu
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mnaosafiri na familia kwenye magari binafsi wakati huu wa sikukuu tafadhali muwe makini. Tayari tumeshashuhudia ajali kadhaa zilizogharimu uhai na hata kusababisha majeraha makubwa...
3 Reactions
6 Replies
905 Views
nimeingia jion hapa Iringa,nimepokelewa na Mvua na baridi kiasi!! ni sehem zipi ninapoweza kwenda ku pre-empty hizi stress wakuu?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ishawahi kukukuta?
3 Reactions
60 Replies
8K Views
Kina dada bana hawaachagi mambo yao! Utamsikia anakwambia: "Baby naona aibu kuingia 2017, it's my first time". [emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tujadili ivi mnafikiriaje ili swala la hawa wasioenda ata dakika moja wanachoka wengine na usingizi juu? Mi nashauri watengewe dunia ya peke yao? Sijui wenzangu...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
UNAPO-CHART NA Mchumba WAKO KWA STAILI HII: WEWE: Oya! YEYE: Nambie! WEWE: mzima! YEYE: Mi mzima ww je? WEWE: Niko poa YEYE: Ok KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHART NA...
16 Reactions
110 Replies
16K Views
Huu ni uchaguzi mkuu jf ambapo tutampendekeza mtu kwa kumtaja kwa kupjga kura. atakayependekezwa zaidi kwa kushika nafasi ya kwanza na ya pili ndio watakua wagombea rasmi humu Na kura ya...
2 Reactions
108 Replies
7K Views
Wakuu nimechanganywa na mguu wa honey faidh ambae ni mdau humu jf nisaidie niweze kupata sura yake..
0 Reactions
104 Replies
7K Views
Baba: Unampenda nani zaidi kati yangu mimi na mama yako? Mtoto: Nawapenda wote. Baba: Kama nikienda Marekani na mama yako akaenda Paris, wewe ukaambiwa umfuate mmoja utaenda wapi? Mtoto: Paris...
8 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Mimi nina jamaa yangu tulikuwa tunakaa naye Kimara mwaka 2006 kabla sijahama alienda zake Canada mwaka 2011 kusomea saikolojia akakaa huko miaka 5, na tangu arudi sasa ni miezi miwili...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…