Oyaaa dada yangu huyo.Wakuu nimechanganywa na mguu wa honey faidh ambae ni mdau humu jf nisaidie niweze kupata sura yake..
Hee! hivi sasa hivi saa ngapi!!?Wakuu nimechanganywa na mguu wa honey faidh ambae ni mdau humu jf nisaidie niweze kupata sura yake..
Oyaaa dada yangu huyo.
Mheshimu kabla sijakuvuruga.
Wakuu nimechanganywa na mguu wa honey faidh ambae ni mdau humu jf nisaidie niweze kupata sura yake..
Aah jirani lazima niwe mkali kidogo....Mwenye dada hakosi shemeji.
Tulia pembeni hukoooo
hahaha mkuu nimekwambia naogpa we ndo umeaua kumwita kabisa..! kuna kipindi kama miezi ya 8&9 tulikuwa tunapishana humu jf kwa karibu sana nikawa namwangalia nikajukuta nampenda tu....sijui kwa nini ila najitahidi kui'ignore' hii haliHoney Faith unaitwa huku na Mende msafi.
Kwa hiyo unagegeda mwenyewe?Oyaaa dada yangu huyo.
Mheshimu kabla sijakuvuruga.
Kwa hiyo unagegeda mwenyewe?
Aah jirani lazima niwe mkali kidogo....
Na akijifanya kuja nyumbani bila adabu ntamsakizia bobby amng'ate![]()
Happy 2017 to you....
Hahaa jirani acha ukali dadaako mwenyewe anafurahia.
Happy New Year to You Too.
Fireworks wapi..