PaulElias
Member
- Dec 20, 2016
- 24
- 57
UNAPO-CHART NA Mchumba WAKO
KWA STAILI HII:
WEWE: Oya!
YEYE: Nambie!
WEWE: mzima!
YEYE: Mi mzima ww je?
WEWE: Niko poa
YEYE: Ok
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHART NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STAILI HII:
JAMAA: Mambo vip mrembo!
MSICHANA: poa mzima ww?
JAMAA: mi niko poa kabisa halafu ninapopata bahati ya ku-chart na ww hata kama nilikuwa najisia hovyo afya yangu huimalika ghafla.
MSICHANA: mh! Kivipi yan!
JAMAA: Uzuri wako tu kwangu ni dawa tosha.
Sio siri mungu kakupendelea sana rafiki yangu.
MSICHANA: Dah! Yaani rafiki yangu huishi kunifurahisha asubuhi yote hii ushaanza kunipamba.
Ujue maneno yako yatanifanya niringe wakati sistahili.
JAMAA: Hapana unastahili kabisa kuringa wangu!
kweli ww ni mzuri wala sio uongo ila sema tu ww hujioni.
MSICHANA: mh! Sawa bana asante.
JAMAA: Ila wangu ujue nin
Uongo mbaya m nakupenda
Sipati picha ni furaha kiasi gani nitakuwa nayo pale utakaponifanya mwenye bahati ukaamua kunipa nafasi ya kuwa na ww.
MSICHANA: Hapana wangu mi tayali nipo kwenye mahusiano ila ukweli ni kwamba huwa najisikia furaha sana pale ninapo-chart na ww.
JAMAA: Unastahili kuwa na furaha maraika wangu!
Kwasasa wacha Nikutakie siku njema.
Nataka nifanye kazi moja hivi ntakustua baadae.
MSICHANA: Asante switie! ntakumiss muda ambao hautakuwepo hewan
so usikawie kurudi online sawa eh!
__________________________________________
Unaweza kusema,,, "huyu mwanamke ni cheap analainishwa kwa maneno tu"!
Lakini ukweli ni kwamba wanawake kwa ujumla wapo hivyo.
siku zote wanapenda kusikia maneno matam kutoka kwa wapenzi wao:
Wakati mwingine unaweza kujikuta una pesa na ni mtaalam wa kuhonga lakini bado mpenzi wako akachukuliwa na jamaa asiyekuwa na pesa.
Kisa maneno laini laini.
Hivyo basi epuka kuzungumza/ku-chart na mpenzi wako kana kwamba una-chart na mshkaji wako wa kijiweni.
Huyo ni mwanamke unapaswa kumbembeleza la sivyo atachukuliwa na wanaojua kunyenyekea.
Mwisho naomba nikwambie moja katika ya mistake kubwa ambazo hupaswi kufanya ktk mahusiano nikuacha mwanya mshkaji mwingine akachukua nafasi ya kumfurahisha mpenzi wako.
Nadhani nimeeleweka.