Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Ili kukata kiu ya RAIA wengi waliokuwa wakihoji kwa nini mtukufu, mwenye heri Mkuu hawapigii simu kituo cha habari cha nchi hiyo hatimaye Leo Rais wa chama cha wasukuma mikokoteni bwana Pangu Pakavu amewapigia simu TBC kuhoji mambo kadhaa.
Kwanza amehoji kwa nini TBC haijiendeshi kwa kuzingatia weredi, ubunifu, nguvu ya soko na teknolojia?
Akijibu maswali hayo, mkuu wa kituo hicho amesema; wao hawatangazi kufuata weredi au taaluma Bali wanafuta maelekezo toka juu basi.
Habari za weredi sijui taaluma hapa hakuna, hili shirika hata lipate hasara sisi wafanyakazi tunalipwa mishahara vizuri kutoka ktk kodi wanazokamuliwa mizuka. Na hii mizuka imelala muda huu.
Na ukileta ubunifu hapa eti uwape habari za kuelimisha mizuka ili ikate kamba ikajitafutie chakula ujue upo hatiani akigundua bwana wa Mizuka. Kama mnataka weredi angalieni vituo vingine hiki hakiwezekani aliongeza kusema kiongozi huyo.
Hii imenikumbusha siku moja TBC ilikuwa ikionesha mechi ya timu ya taifa, kipindi cha pili kilipo anza tuu matangazo ya mpira yakakatishwa eti wakatwambia wanarusha matangazo ya kuwasili kiongozi wa nchi ya jirani.
Kila MTU aliondoka kwa hasira kweli, na kwenda kulizima lile T.V kuwahi kuangalia mpira ktk T.V zingine zenye uhakika. Tangu siku ile sikurudia tena kuiangalia ile TBC nyumbani na nikapiga marufuku MTU yeyote kuiangalia.