Prince Naseem
Member
- Apr 2, 2012
- 15
- 107
Wakuu,
Mimi nina jamaa yangu tulikuwa tunakaa naye Kimara mwaka 2006 kabla sijahama alienda zake Canada mwaka 2011 kusomea saikolojia akakaa huko miaka 5, na tangu arudi sasa ni miezi miwili.
Mpaka ninavyoandika hapa washkaji kitaa wanatamani hata kumpa pesa nyingi ili aondoke pale kwao Kimara mwisho kwa maana jamaa anang'oa mademu wote wakali bila hela wala nini (mpaka watoto wakali wa kichaga), na watu wakimuuliza anasema yeye ana maneno matamu na mbinu zake za kisaikolojia alizosomea huko darasani kwao chuo cha Canada.
Sasa nimebaki najiuliza inakuwa vipi watu waliosomea saikolojia wanakuwa watata kiasi hiki aisee, utasema jamaa ana kizizi.
Note: Ukiona demu wa kichagga anang'oleka kizembe kwa mameno matamu bila kumwaga mpunga wa kutosha, kaa mbali na huyu jamaa!