Royal Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 777
- 1,425
Kuna siku nilifulia ile mbayaaaa kipesa nikaamua kumuomba Demu wangu aniazime 10,000/= akanipa...
Baada ya siku mbili / tatu nikapata zali la pesa zaidi ya laki 4 hivi , ( NILIBET ) Nikaamua kumpa 100,000/= Demu wangu bila yeye kuniomba na nilimwambia hiyo afanyie mambo yake madogomadogo...
Baada ya siku 4 akaja kuniambia :- Beib Wangu Meddy ile 10,000/= niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 2 ...
SASA HIVI NIPO ZANGU SINGLE , SIPENDAGI UJINGA MIE ...