JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeweka humu ila hii ni true story! P.E=pumbu erosion: kipindi hicho mazengo kabla haijawa saint john university sisi ndio tulikuwa wanafunzi wa mwisho mwisho!Sasa vyoo vilikuwa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Msubirie ameenda maeneo yake weka Maji jikoni Akirudi tu, mwache aingie chumbani alale, akishalala, endea Maji yako jikoni. Chemsha zaidi, chemsha , chemsha, shemasha wakuu Epua, weka kwa kikombe...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee" Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli...
12 Reactions
215 Replies
38K Views
Habari zenu wanaJF kuna hii style ya kisasa inaitwa Dab .. Ina maana gani?? maana inanikera Sana kwenye Maharusi Dab,Mashuleni Dab Mitaani yani kwa kifupi Everywhere! Ina maanishaje?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hapa jirani kuna baba mmoja ambae ana watoto wawili wa kiume. Baba huyu inasemekana ni jambazi wa kutupwa. Aliwafundisha watoto wake ujambazi na namna ya kuua...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
*Hizi kampuni ziwe fair jaman mbona kwenye matangazo colgate na whitedent wanaonyesha MENO lakini #ALWAYS na FREESTYLE hawaonyeshi kitu chochote??*
1 Reactions
7 Replies
945 Views
This is our blessed month! Let's celebrate! All Capricorns, all those who were born this month of the year!
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Nani kakukera zaidi 2016? 1. Your parents 2. Ndalichako 3. Vodacom 4. Tigo 5. Airtel 5. Landlord 6. Bus conductor 7. Startimes 8. Your boss @ work 9. Husband 10. Wife 11. Boy friend 12. Girl...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mara nyingi ukikuta watu wana urgue. ...kuna mtu mmoja kati yao ni ignorant. .... Hivyo kila kwenye mzozo tafuta kumjua ignorant then songa mbele. Kipimo hiki ukikitumia vizuri kitakupunguzia...
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Niko na Serengeti ya tatu mdogo mdogo naogopa kufloat mapema niko jijini mwanza, BTw watoto wazuri pia wamenizunguka muda huu Wao nimewaambia waagize kile wanataka naona wanaleta usasa wa sprit...
5 Reactions
204 Replies
15K Views
Mzee mmoja alinunua robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao! Dogo akaulizwa na baba yake umepata ngapi kwenye mtihani? Dogo akajibu mia, mara robot likampiga kibao pwaa! Baba akasema mimi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi vitu bhana ukiwa na stress vitumie kula pombe za kutosha piga muziki huyo demu wako aliekuzingua unamsahau fasta tu ndo mana darassa kasema MAISHA NA MUZIKI na SI MAISHA NA MAPENZI
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Watu wa majeneza nao wanalalamika Biashara ngumu, eti magufuli kabana nyie jamaa hebu acheni masihara, sasa hapo Rais anahusika vipi??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
*mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI* *ndugu zangu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
*Kikwete uko wapi.*??? Ni mwanzo wa mwaka tunaomba msamaha kwa kuwa tulifanya makosa bila kujua, mzee tutakukumbuka sana tunakumbuka katika uongozi wako umefanya mazuri sana ukilinganisha na...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Ilikuwa ni tar 17-12 1988 nilpopata taarifa kuwa siku tatu baadaye nitasafiri kuelekea 'dizim' Dar es salaam.Maandalizi ya nguvu yakaanza ikiwa ni pamoja na kuazima nguo bila kusahau chupi.Rafiki...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…