nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
*Hizi kampuni ziwe fair jaman mbona kwenye matangazo colgate na whitedent wanaonyesha MENO lakini [HASHTAG]#ALWAYS[/HASHTAG] na FREESTYLE hawaonyeshi kitu chochote??*
Liquids kutoka wapi?, kwenye jagi au?, kwa kweli sielewi!Wanaonyesha ufanyaji kazi was bidhaa. Matangazo ya sanitary pads yanaonyesha kwa kutumia liquids .Au huelewi?
Liquid hyo ni mfano wa utendaji kazi wa hizo taulo za kike pindi zinapovaliwa ,labda km hujui ni kwaajili ya matumizi gani!Liquids kutoka wapi?, kwenye jagi au?, kwa kweli sielewi!
Liquids kutoka wapi?, kwenye jagi au?, kwa kweli sielewi!
Sasa mbona Colgate Na whitedent Wao wanaonyesha utendaji wa bidhaa zao mdomoni (yaani mtu akipiga mswaki), hawa wengine vepeeee!, this is not fair!.Liquid hyo ni mfano wa utendaji kazi wa hizo taulo za kike pindi zinapovaliwa ,labda km hujui ni kwaajili ya matumizi gani!
upupuwapwani Umeamua kuchangia "kiintelijensia eeh!".Wewe ni me au ke, tuanzie hapo nyumbatatu
Kwa mantiki yako, matangazo ya biashara ya condom yaonyeshe uhalisia jinsi inavyotumika? Unachotaka waonyeshe live kwenye video ama??? maana km ni kuonyesha utendaji michoro ktk bidhaa husika inayoonyesha matumizi, bidhaa ina maelezo ya kutosha ama michoro ya kueleweka kumuwezesha mtumiaji kujua matumizi sahihi ya utendaji kazi, nakushauri nunua uone labda utaelewa!Sasa mbona Colgate Na whitedent Wao wanaonyesha utendaji wa bidhaa zao mdomoni (yaani mtu akipiga mswaki), hawa wengine vepeeee!, this is not fair!.