KISA CHA ROBOTI

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Mzee mmoja alinunua robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao! Dogo akaulizwa na baba yake umepata ngapi kwenye mtihani? Dogo akajibu mia, mara robot likampiga kibao pwaa! Baba akasema mimi enzi zangu nilikuwa nakuwa wa kwanza tu, mara naye kibao pwaaa! dogo akaanza kucheka, mama yake akafoka we mtoto, unacheka nini hujui huyo ni baba yako? Mara mama naye kibao pwaa!
 
Nacheka hadi nalia machozi. ngoja nisepe roboti asijeniramba kibao
 
Mzee mmoja alinunua robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao! Dogo akaulizwa na baba yake umepata ngapi kwenye mtihani? Dogo akajibu mia, mara robot likampiga kibao pwaa! Baba akasema mimi enzi zangu nilikuwa nakuwa wa kwanza tu, mara naye kibao pwaaa! dogo akaanza kucheka, mama yake akafoka we mtoto, unacheka nini hujui huyo ni baba yako? Mara mama naye kibao pwaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom