Style ya kucheza Dab kwenye kila sherehe..

ora

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,198
1,122
Habari zenu wanaJF
kuna hii style ya kisasa inaitwa Dab ..
Ina maana gani??
maana inanikera Sana
kwenye Maharusi Dab,Mashuleni Dab Mitaani yani kwa kifupi Everywhere!

Ina maanishaje?
 
Habari zenu wanaJF
kuna hii style ya kisasa inaitwa Dab ..
Ina maana gani??
maana inanikera Sana
kwenye Maharusi Dab,Mashuleni Dab Mitaani yani kwa kifupi Everywhere!

Ina maanishaje?

Inamaanisha Dab mkuu
 
..haha!!Fanya harusi Yako ndo uweke constrains alaf unakuta hata mchango hukukamishila
 
Full kuiga mmarekani
Jana wakati nmepumzika nikabamba kipindi cha Skonga EATV
wale wanafunzi kila wanapoambiwa wapigepicha wanadab...
nikajikuta nashangaa... mpaka mashuleni
 
kama wale watoto wa skonga wanayoiigaga na nyimbo moja ya jambo sqead nimeona wanaipiga na kuna tetesi wanatarajia kuitengenezea fomula ianze fundishwa mashuleni kama part kwenye esabu mshana jr
 
Back
Top Bottom