Intelsat
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 323
- 532
Niko na Serengeti ya tatu mdogo mdogo naogopa kufloat mapema niko jijini mwanza, BTw watoto wazuri pia wamenizunguka muda huu Wao nimewaambia waagize kile wanataka naona wanaleta usasa wa sprit drinks Hennessy, Grants na Whindoek Mdau nipo na Serengeti na Mnyama Safari pia Naamini katika local beers zaidi, Je mwana Jf mwenzangu uko kiwanja kipi sasa na uko beer ya ngapi?
Cheeeeers
Cheeeeers