Baba Kikwete uko wapi???

Nali

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
1,157
2,000
*Kikwete uko wapi.*???

Ni mwanzo wa mwaka tunaomba msamaha kwa kuwa tulifanya makosa bila kujua, mzee tutakukumbuka sana tunakumbuka katika uongozi wako umefanya mazuri sana ukilinganisha na sasa.

Nakumbuka haya tu.

1. Ulilipa wanaoitwa wafanyakazi hewa wote.

2. Ulitoa mikopo kwa wanachuo wa vyuo tena kwa asilimia kubwa tu hata kama zilichelewa.

3. Ulitoa ajira kwa wahitimu wote wa ualimu na kada zingine kwa muda muafaka.

4. Haukuyumbisha elimu ,na waliokuwa udom, haukuwaita vilaza,na haukubadilisha viwango vya ufaulu kinyemela Baba.

5. Baba wafanyakazi walipata posho za vikao.

6. Baba ulikuwa na moyo wa uvumilivu ,wanasiasa walikusema sana ila haukuwaweka gerezani kama alivyowekwa kamanda lema.

7. Baba vyama vilipiga mikutano kadiri walivyokuwa wanaweza, walifanya siasa kadri walivyokuwa wanaweza.

8. Baba pole sana walikusema sana eti wewe ni mpole lakini upole wako watu walikuwa na "freedom of speech"

9. Baba tuliona bunge LIVE,tuliwasikia wabunge wetu wakisema bungeni na walikusema sana ila uliwavumilia.

10. Baba ni mengi sana japo kulikuwa na ESCROW, EPA,Richmond, lakini haya hayukukusababishia kufunga tv, yakitokea sasa hivi hata REDIO ZITAZIMWA.

*BABA UKO WAPI TUNATAMANI UPEWE HATA UKUU WA MKOA TUHAMIE MKOA UTAKAOKUWA WEWE.*
 
AKAN

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
363
250

hahahahahahahaha
 
isotaaaa

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,925

kwahyo ulifurahi yatokee mkuu?hopeless
 
BILGERT

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
4,545
2,000
Imenigusa saaana,hi ni laana ya kumsema kikwete,,,angalau yale ya msingi yalikuwa yanafanyika...
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
7,904
2,000
*BABA UKO WAPI TUNATAMANI UPEWE HATA UKUU WA MKOA TUHAMIE MKOA UTAKAOKUWA WEWE.*
Alishasema msimchonganishe na ngosha hamsikii!! Hebu mwacheni apumzike...

NB: Tupo S1E2 tuna safari ndefu kufikia S2E5 Hivyo uvumilivu ni jambo la msingi whether you like it or not
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom