Yu wapi Nyani Ngabu ?huyu jamaa miaka yake amekula sana watoto wa humu. Akija TZ toka Marekani anakobeba mabox anarudi na Dollar. Anawakwangua sana mabinti wa JF. Amekuwa kimya siku hizi.
Angalau...
Ooooy! Niaje wakuu,
Kwanza kabisa Nina furaha kubwa Sana kwa siku ya Leo kuonekana tena Jukwaani hapa Mara baada ya kipindi kirefu mno tangu Enzi zile za Kina Gentamycine, Nyani Ngabu na Genge...
Niaje wakuu, bonjour comment cava!
Kama title inavyosomeka, share chochote unachoona unakifanya kwa utofauti kinakusaidia kwenye mahusiano yako,kazi/ajira yako, biashara yako, ama elimu yako.
Au...
Eti wakuu mbona sie wengine tunasikia tu hayo mambo ya kulishana bani?
Nyie wenzetu huwa mnaandika vitu gani humu?
Sasa jichanganye na hapa ule bani tena🤣
Wasalaam..
Christmas ni kesho tu hapo, kila mtu anachinja chinja na kuandaa madikodiko plus kupanga viwanja vya kutanua.
Huu ni uzi maalum kwa kupeana zawadi na mialiko, alika memba mwenzio...
Siku za hivi karibuni nilitembelea stand up comedy events kadhaa na taratibu nikaanza kuvutiwa kuingia huko na nikaanza kujaribu kufanya.
Hivyo basi kupitia uzi huu nitakuwa nashiriki nanyi...
Baada ya Mishangazi kushika kasi sio vibaya tukajua sifa kuu za mshangazi.
1. Awe single.
2. Awe kaachika au mjane.
3. Awe mweupee.
4. Awe na pesa.
5. Awe mnene.
Baada ya hayo, niwatakie...
Unakutana na mtu anadai hali Kitimoto lakini anakula SAUSAGE, si kujidanganya nafsi? Huku ni kujidanganya nafsi, na wakati unajua imani ya dini hairuhusu. Takbiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kipi kinauma sana MOYONI:
1.Kudharauliwa.
2.Kumpenda mtu asiyekupenda
3.Kuwa mpweke.
4.Kutofurahiwa na watu.
5.Kufeli mitihani.
6.Kumpoteza mtu muhimu.
7.Kumuona umpendae akiwa na mpenzi mwingine...
Habari zenu Wana JF wenzangu!
Kwa kujiunga ni new member lakini nimekuwa nikisoma nyuzi mbalimbali za mahusiano forum Toka 2014 Bila kulog in, nikafanya maamuzi nijiunge maana nimekuwa napata...
Wiki ijayo narudi kazini sitakua na muda tena wa kuingia humu mara kwa mara. Njooni mshare na mimi vituko vya mwisho mwisho basi, nikiwamiss nije kuusoma huu uzi.
Nini umekiona kwenye jukwaa wiki...
Huyu mlokole anafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika kubwa, lakini hajawahi kuiba hata senti. Eti anasema wezi hawataingia mbinguni. Mtu ana nafasi ya kutajirika haraka kwa pesa za shirika, yeye...
Jana bwana nikiwa natoka job nikakutana na jamaa yangu mmoja akanipa lift akiwa na wife wake na shangazi wa mke wake naweza kusema na yeye ni mkwe wake.
Tukiwa maeneo ya Aga Khan upanga ghafla...
Mapenzi upofu
Sisikii Wala sioni kwa Lamomy
,nawaza hili litakua jishangazi la mwendo Kasi, Lina mipaja na miguu minene, atakua na nyonyoh kubwa kubwa zilizojaajaa
Kila nikimfikiria simpatii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.