abaa4all
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 313
- 290
Ngudu wa jamii habari zenu.
nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka kati ya 200 -250.
Faida kubwa ya kufuga paka ni kuwa huwafugi kweny banda unawaachia wanlala ndn na hawachafui mazingira.
Pamoja na masoko nliyonayo pia kwa wanajamv weny kujua soko jingine la uhakika la paka aniPM ili tuweze kufanya biashara.
oda inaanzia paka kumi na kila paka ishirini nakupa discount kubwa.
na pia natoa elimu ya jinsi ya ufugaji mzur wa paka.