JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mabaharia wenzangu ndio wanaelewa kazi kubwa wanayofanya hawa jamaa katika uzi wetu ule pendwa🤣 Shukrani wakuu Swahili AI Mideko
3 Reactions
5 Replies
399 Views
Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao. Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi...
6 Reactions
4 Replies
568 Views
"Naona tunapotezeana muda tuachane tu. Mimi nimepata mtu mwingine nakutakia kila la kheri" Jibu kama mtu ambae ameshamove on.........................
10 Reactions
52 Replies
2K Views
Ndiyo, Kila mtu humu ndani atakufa. Msijisahau.
2 Reactions
12 Replies
582 Views
Habari ya muda huu wakuu, nimefika mwanza kutoka dsm jiji limepoa sana, nipo kishiri nazunguka zunguka kucheck pisi za kisukuma lkn sijabahatika kbs , kwa anaejua maeneo mazuri kwa hapa kishiri...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Binti Sayuni03 maneno yako ni mithili ya upepo mwanana unaovuma kwa utulivu, ukigusa kila kona ya mawazo yangu. Kuna haiba isiyoelezeka katika jinsi unavyoandika, hisia zinazopenya bila hata...
10 Reactions
161 Replies
4K Views
Jamani nishaurini nianze wapi nimalizie wapi
1 Reactions
1 Replies
162 Views
Habari Wandugu nimeokota Pete ya Ndoa kama kichwa habari kinavyojielezea. Sasa nasubiri niokote mchumba tufunge ndoa tuu 😔😔😔
4 Reactions
15 Replies
770 Views
Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala: Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ? Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄 Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔 Binti 2: Awe milionea ..! 🙄 Binti 1: Je...
2 Reactions
4 Replies
584 Views
Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforums linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani. Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana...
47 Reactions
527 Replies
14K Views
Mimi vita ya KUNYAMAZIANA Sijawahi lose kabisa ,, Ukijifanya bubu ,, Mimi najifanya marehemu kabisa 💯 #@mudytawaleni1802 ✍️
1 Reactions
0 Replies
186 Views
Tufanye kazi kwa malengo na sio kwa matendo. Tufanye kazi kwa asilimia mia na sio kwa kukamia.
2 Reactions
3 Replies
184 Views
Mimi nikiwa mdogo nilikuwa najua baba na mama mzazi wao ni mmoja . Mimi nilijua baba alikuwa mzembe kutojenga ghorofa mbona wenzake wamejenga? Mimi nilikuwa najua baba hatupendi kwanini hanunui...
3 Reactions
6 Replies
394 Views
Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani...
13 Reactions
20 Replies
1K Views
Yani hata avae au ajifarague vipi bado, ukikutana nae tu unamua amekaa kishamba shamba. Then kuna sisi, bila ya kutumia effort kubwa, mtu akituona tu, ana perceive amekutana nae confident...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Back
Top Bottom