Scenario 1;
Mwaka 2016, Novemba, Dar es Salaam, Sinza, lodge ya Twiga:
Tulikuwepo tupo mitaa ya Katalaunya pale na wanangu km watano hivi tunakula maji/pombe za kutosha. Ilivyofika mishale ya...
kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo...
Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii
Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa)
Anyway nakumbuka niliomba...
Huyu mtumishi namkubali anakula mshahara wa halali
Ametukumbusha kuhusu matepeli
Kwa siku tutapokea SMS hazipungui 10 za SITAPELIKI
Sasa😅 imetosha kaka, ujumbe umeeleweka
Na hakika SITAPELIKi...
Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.
Wa T.A tujimwae mwae humu.
TANGA NDIO HOME
Habarini wakubwa wa kazi,maandalizi ya watani kunyoana kesho nadhani yanaenda kwa kasi nzuri….Rada za huku kwangu zinasoma kwamba bado tabu iko palepale,ila mwishoni mwa ligi watakaoteseka kesho...
Kila Mtu kwenye maisha kuna wakati anaamua kucheza kamari na maisha yake anaona Liwalo na Liwe, ikitiki Nimetoboa ikibuma FRESH (Kakubali Matokeo)
Ni wakati gani kwenye maisha yako umeshawahi...
Nimeogopa sana!
Kama usafiri wenyewe unakuwa hivi nitafia kwenye kwenye daladala sijui mwendokasi😭😭
Na mimi ni mfupi kama Evelyn Salt binamu yake cocastic
Nigeria huwa wana content za comedy za kitoto sana, hazina ladha, English yao mbaya sana. Karibia content yao yote comedy siku zote ni kama ya walinzi wa getini wa bongo movies.
Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha.
Mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 .
SLOW DOWN
1. If You Are Looking For Wealth, Somebody Is Looking For Health.
2. If You Are Looking For Health, Somebody Just Died.
3. If You are Looking For Power, Somebody Has Acquired And...
Mods:
Kuna Threads Nyingi sana zime/zinaaanzishwa juu ya Babu Loliondo, Hii ikiwa mojawapo.
Ningeomba kama kungekua na uwezekano wa kuziunganisha zote. Or just One thread with sub topics ie...
Asubuhi mmeamkaje.
Niseme hivi Gentlemen wa jf mjitahidi sana kuwa makini na sisi mabinti wa jf.
Juzi nimefungua Acc nikajaribu kuwa real na kueleza uhalisia wa mambo hasa yanayotukuta sisi...
Leo mambo mengi sana humu mara kafara, mara watoto kupigwa, karibuni tujipumzishe jamvini.
Ikiwa umenuniwa na bebi wako au umefanya msala au hujisikii tu kuliomba tendo directly ila hamu...
Tuanze na faida
-Uhuru wa kujiamulia mambo yako mwenyewe pasipo ulazima wa kushauriana au kumshirikisha yeyote.
- Hauwajibiki kwa yeyote. Hakuna wa kukuuliza, mfano-saivi uko wapi (hili swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.