JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Unaona wanyama wangapi hapa? Wataje
5 Reactions
17 Replies
634 Views
Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz...
9 Reactions
48 Replies
1K Views
Kama picha inavyoonekana hapa ni eneo gani exactly
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Nakushauri we ulie na smart PEKEE mda muafaka kanunue na katochi Kana saidia sana sanaaa Hasa kwenye shida ya chaji kwa kweli hakatanii Pia kama UNATAKA namba zako za Siri unaziweka kule so HATA...
3 Reactions
2 Replies
423 Views
Hapa ndipo tulipopata misemo mingi sana kama ule wa kudadadeki (Nafikiri joti aliutoa katika msemo wa "kulaleki" ukikuwepo tangu 90s), umefulia, etc miondoko ya aina yake, hapa ndipo...
21 Reactions
71 Replies
3K Views
Hakuna haja ya salamu. Jana nlienda beach flani ya kishua huko pembezoni ya beach. Nikawa nime cool tu napata moja baridi,moja baridi. Sikujua kama Tanzania kuna joto hivi. Nimeingia Ijumaa...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA...
0 Reactions
3 Replies
406 Views
Wakuu, Najua kila mtu ana stori au jambo lake ambalo akilisimulia hapa watu tutafurahi, Katika jukwaa hili la jf, unaweza ukaanza kusoma replys za wadau hata kama ulikuwa peke yako unaweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nahitaji kujua tabia za kabila la wamwela, wangoni, wapare:help::help::help:
0 Reactions
23 Replies
19K Views
Mi nakapenda sana haka katoto atoto wewe je?
9 Reactions
1K Replies
64K Views
Ova Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa...
2 Reactions
30 Replies
867 Views
Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi. Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10. Iwe mbeya mjini maeneo ya...
2 Reactions
1 Replies
387 Views
Sio kuyafanya makazi ila kwenye matamshi yake tu yanakunogea na unatamani angalau ufike. Mimi Nyamagana na Kurasini
8 Reactions
193 Replies
5K Views
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba Ukikubali, na kusema nambie swali...
12 Reactions
108 Replies
3K Views
Jamani wanajukwaa! Kesho Waislamu wanaingia kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Sasa tunajuwa muda ule wa kufuturu lazima kwenye jamvi lazima vyakula visheeni, Je unapendelea kupika au kula...
0 Reactions
2 Replies
329 Views
Hivi kwa mfano unakuta mtu kazaliwa tarehe 29 mwezi wa pili, 29/02, na hii tarehe sio kwamba ipo kila mwaka, mwezi wa pili unakuaga na siku 28 mara kadhaa, inamaana kumbe kuna watu unapita mwaka...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndugu zngu wazima Nina mm milion niende kiwanja gan chenye watoto wakari na Bei elekezi nikaale full kupombeka
1 Reactions
5 Replies
274 Views
Mimi niliona mfanyakazi mwenzangu analipwa $300 (750,000) kumtumia mwanaume soksi chafu alizokua amezivaa. Huyo mbaba alikua anapenda jasho la soksi za wanawake. Baada ya miezi kadhaa huyo dada...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Hawa walitoka makwao Disemba 2023 na hii Februari 2025 wameonekana ni wajawazito. Wakuu nataka mnipe uhakikisho hawa wapendwa walitoka na ujauzito makwao au wameupatia hukohuko vitani? Hapa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom