JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wishing you a birthday as perfect as you are for me. Your day is as special as you are! May your birthday be as unforgettable as you are every day. Here's to another year of good health and...
31 Reactions
297 Replies
8K Views
Iwe hivi sasa... Bila kujali muda na Umri wako Jf Chit chat iamke!! Wakongwe na Wasasa Hoyeee. Nitakuja na list muda sio mrefu. To be continued... By the way hii forum inaendelea. Kwa picha...
34 Reactions
3K Replies
134K Views
Kwema wakuu. Jambo gani umekuwa unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, huenda ni kumpa pole, kumuomba msamaha, kumshukuru kwa jambo, kumwambia jinsi gani unampenda. Share jukwaani ni jambo...
11 Reactions
124 Replies
2K Views
Wasomi Kwa maksudi mmepuuza siasa na hamtaki kugombea, Wacha Sasa mtawaliwe na kuongozwa na mambumbumbu 1. Mh Dj Romy Jons Waziri wa Katiba na sheria 2 Mh Shilole Waziri wa Viwanda na uwekezaji...
3 Reactions
21 Replies
875 Views
Natumai mu wazima. Nakumbuka way back nikiwa kwenye harakat zangu... Kuna baharia aliniita na kuniuliza ishu Fulani, nilmjibu kavu akanambia "chora". Nikawa nashangaa tu kumbe maana yake ilkuwa...
6 Reactions
14 Replies
792 Views
Heshima kwenu wakuu wa Jamiiforums! Kama kawaida, dunia haina usawa, ila kuna viumbe ambao wao wanaamini wameumbwa tofauti na sisi wengine. Hapa sizungumzii malaika au miungu, hapan naongelea wale...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
Kwa wale wapenda mambo yetu yale huwa una pendelea kutumia kinywaji gani uwapo maeneo ya burudani? Binafsi nikiwa viwanja napenda sana wine ya "saint Anna" ina nipa stata kwa uzuuuriii...
4 Reactions
102 Replies
5K Views
Sina maneno Sina maneno, ila ukweli ndiyo huu
5 Reactions
14 Replies
650 Views
Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha? Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa Ni hayo tu!
11 Reactions
55 Replies
1K Views
Nakusalimia tu boss wangu uliye mbali na mboni ya macho yangu Haiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!,umenizururisha kwenye hilo jiji ,kidogo nilifahamu, nilieenjoy Nitarudi tena,nakumis , nakumiss, nakumiss...
31 Reactions
237 Replies
4K Views
Nimekutana na Mwamba hajali kubabake tuwe tunasoma kilichoandikwa kwenye nguo
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Hili wala halina Ubishi kuwa Suala la Bahati na Nuksi itokayo kwa Mtu au Watu fulani ina Nguvu Kubwa mno katika Mafanikio ya Jambo au Mkakati fulani. Kuna Watu ukiwa nao katika Familia au Taasisi...
0 Reactions
17 Replies
766 Views
Wanaume, Usipoteze muda kurekebisha sahani ambayo hujaivunja wewe..
4 Reactions
3 Replies
241 Views
Mko salama wakuu? Jana nikakutana na jamaa zangu flani ambao saivi ni madereva wa IT,tukapiga tungi weee nikaona jamaa wanachanganya kuberi na konyagi kuwauliza wanasema eti inakata...
2 Reactions
18 Replies
653 Views
Kwema wakuu. 1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli...
7 Reactions
37 Replies
960 Views
Noma sana. Nilikua bored sana nikaona nitafute sababu ya kuwa na furaha leo😅😅😅 Baada ya kutengeneza CV kwa dakika 10 kupitia Hii AI nikaona nianze kujifurahisha
10 Reactions
228 Replies
6K Views
Wana jf niaje, Kazi gani ngumu uliyowahi kufanya katika maisha yako?
1 Reactions
21 Replies
783 Views
Habari wakuu Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active. Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani...
63 Reactions
360 Replies
13K Views
Tunaomba Bunge Lipitishe Sheria Turuhusiwe Kuwapiga Makofi Mashabiki Wa Simba Bila Sababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ili kuendelea kusherekea ubingwa wa wananchi Kwa...
5 Reactions
12 Replies
392 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…