Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote...
Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini?
Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza...
Maisha si magumu kila saa tupumzike kidogo tucheke na kufurahi. Kama unayo video ya kuchekesha, tupia hapa tuangalie! Memes, vituko, au chochote kitakachotufanya tusahau stress kidogo.
Wadau...
Wakuu,
Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba?
Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba
Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa...
Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata...
Ndiyo huo uhalisia watu wa kusini hasa hasa Lindi na Mtwara ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima yaani hawa watu wa kusini ndiyo gamer changer Tanzania mzima tu ila ndiyo hii nchi...
Ujana unasemwa ni maji ya moto.. Hivyo harakati ni nyingi na ndoto ni nyingi na mipango ni mingi pia.. Lakini taratibu umri unavyosogea vyote hivyo hupungua na hatimaye kwisha kabisa..
Kuna mambo...
Ukiskia mtu anakwambia ualimu ni shughuli pevu, shughuli yenyewe huanzia hapa. Mwanangu ndo kashakalilishwa hivyo. Ukimuuliza Mtaka cha Uvunguni, anakwambia matrako hulia mbwata
Na hili nalo...
Tofauti na kupata elimu pamoja na msawazisho wa mawazo je kuna faida yoyote ya kwenda vacation?
Kesho ni safari ya kutoka Tanzania kwenda Vietnam Hanoi..just for leisure.
Binti wa zamani
Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
Sijawahi kufika Ruvuma...
Habari wadau wa Chitchat
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu...
Ukiona bado unapambana na tabia zako kwa kutegemea kitu fulani kikusaidie katika kuziweka sawa hizo tabia usizozipenda basi jua bado haujakuwa kikamilifu!.
Kukua ni pamoja na kuweza kupambana na...
Tunatumia mtandao kila siku. Wengi wetu huchukua muda wao mwingi sana kuingia online na kuchat na marafiki, kupata habari, kudownload, kusoma udaku, kuangalia video nk.
Well, wengine huingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.