JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi hili neno linaongelewa sana kwa sasa sipendi kulisikia ni hili hapa, 'KULINDA AMANI' 'MAHAKAMA' 'CCM'.
5 Reactions
25 Replies
702 Views
Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu🤣 ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai...
28 Reactions
173 Replies
7K Views
Karibuni katika kongamano la CHAPUTA 2025, kongamano litakalokutanisha viongozi waandamizi wa chama na wanachama watiifu. Kauli mbiu ya kongamano ni Kiganja ni furaha yangu. Magwiji mbalimbali wa...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Naangalia ni wapi tumefanana au tumekuwa na interest sawa na member yeyote Wanawake:Napenda warefu ,wanene wastani, sipendi weupe napenda black mimi, Mpira Club ya Tanzania: Yanga Uingereza...
15 Reactions
204 Replies
15K Views
Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha...
11 Reactions
117 Replies
3K Views
1. Anna Shayo - huyu dada nlisoma naye Sangu Secondary School Form Five. Alikuwa akiishi Mwanjelwa kwa dada yake (kama sijakosea) naye that time alikuwa kidato cha 5 masomo ya Biashara au Sanaa...
13 Reactions
136 Replies
13K Views
Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake. Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Taja msamiati unaotumika JF ukiweka na maana yake. Mimi naanza na “meno”
8 Reactions
104 Replies
3K Views
ugonile, Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k...
21 Reactions
260 Replies
8K Views
Akihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu 🤣 🤣 🙌 Nacheeeka 😂😂😂 na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi Kunaanina 🤣 🤣 🤣...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Ipe neno hii picha 😂😂😂😂
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Leo hii ukipata kiasi gani Cha fedha utaachana na kuajiriwa? 👇👇👇👇👇👇
4 Reactions
66 Replies
2K Views
Tuseme ukweli bila kupepesa macho Unalala nayo kitandani Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako Battery ikishuka chini ya...
10 Reactions
48 Replies
1K Views
Leo nimekaa nimemkumbuka baba mwenye nyumba yangu, kipindi nipo chuo huko mkoa Xy nilikuwa mlevi sana na baba mwenye nyumba yangu alikuwa ni mlevi sana, lakini walevi wastaarabu, tuliivana sana...
12 Reactions
13 Replies
881 Views
Leo nakumbuka miaka ya nyuma hadi nacheka. Boarding school hiyo flani watu tulishajiandaa jioni wali maharage. Siku za wali maamae tulikuwa na furaha kichizi. Hukuti kwenye pipa chakula...
9 Reactions
20 Replies
851 Views
Kati ya kupika chakula nyumbani na kununua chakula mgahawani, kipi kinatumia gharama kubwa?
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Naombeni muongozo jamani, kesho natarajia kuwa maeneo hayo..
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Mwanaume hukuzaliwa kuwa mtumwa wa tamaa ya mwili wako Lakini usipozinduka mapema, tabia zako sio tu zitakuua bali zitakuzika ukiwa hai. Wengi wa wanaume hawaharibiwi na maadui zao....bali na...
20 Reactions
88 Replies
3K Views
Kuna maeneo na majina sitoyataja kwa makusudi ili kuficha walioathirika na matukio yaliyotokea ambao kwa sasa wengine ni watu wakubwa na vyeo vyao serikalini na vyombo vya dola. Ilikuwa siku ya...
18 Reactions
131 Replies
63K Views
Back
Top Bottom