JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwanaume hukuzaliwa kuwa mtumwa wa tamaa ya mwili wako Lakini usipozinduka mapema, tabia zako sio tu zitakuua bali zitakuzika ukiwa hai. Wengi wa wanaume hawaharibiwi na maadui zao....bali na...
20 Reactions
88 Replies
3K Views
Kuna maeneo na majina sitoyataja kwa makusudi ili kuficha walioathirika na matukio yaliyotokea ambao kwa sasa wengine ni watu wakubwa na vyeo vyao serikalini na vyombo vya dola. Ilikuwa siku ya...
18 Reactions
131 Replies
63K Views
Cc: GENTAMYCINE Kalpana Numbisa Tate Mkuu UMUGHAKA Kipenzi Changu Mshana Jr Nifah Shadeeya
3 Reactions
6 Replies
297 Views
Mabibi na mabwana napenda kuitambulisha kwenu Avatar yangu mpya ambayo nitaitumia kwa mwaka 2025 nakuendelea. Haki zote zimehifadhiwa hairuhusiwi kutumia Avatar hii mahali popote pale bila idhini...
3 Reactions
14 Replies
730 Views
● Kabla ya starehe, timiza majukumu yako (Before pleasure,fulfill your responsibilities) ● Ukiona rafiki anahama,msaidie bila kuuliza (If you see a friend moving,help without being asked)...
2 Reactions
1 Replies
231 Views
Naanza mimi 👇 Kuoga mara 3 kwa siku 😥 Funguka,
1 Reactions
8 Replies
456 Views
Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali
1 Reactions
7 Replies
274 Views
Huu ni uzi tofauti kidogo ..! Kama wewe ni mpenzi wa vikaragosi na nukuu kwenye ulimwengu wa nyota karibu Mdigo twende kazi
5 Reactions
418 Replies
20K Views
KAMA PICHA INVYOJIELEZA
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Paka wetu tulimuita John Mbwa mkali mtaani aliitwa Tyson Tililika na wewe unayoyafahamu👇
0 Reactions
5 Replies
271 Views
Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi...
2 Reactions
29 Replies
911 Views
Fanya tu Utafiti kuanzia Enzi za akina Oscer Kambona hawa akina Mkapa na Warioba uje hadi kwa akina January na Nchemba PhD kisha malizia kwa akina Gambo, Kikeke na Mwijaku Wanawake wa Kichagga...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Uzi tayari
0 Reactions
3 Replies
227 Views
Nimeshangazwa na hili jibu lake kabisa Dah
10 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
Back
Top Bottom