JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naona hawa jamaa wako serious kuzuia uchaguzi, na kwa hizi mbinu wanaweza kufanikiwa kama hatutakuwa makini.
5 Reactions
10 Replies
611 Views
Habari wakuu Nina jambo hapa najua tunafamishana tu naomba kujua maana ya Vihela na Hela, mfano unaweza kuwa mtaani mnapiga story mara unasikia yule mtu alipataga Vihela ya kustaafu akajenga...
1 Reactions
5 Replies
327 Views
Kwema bandungu! KUPOTEZA KITU kunaumiza sana, kutokuwa nacho kunauma zaidi. Kwa upande wako unadhani kipi bora, uwe na kitu ukipoteze au usiwe nacho kabisa? HESHIMA MBELE karibuni kwa maoni na...
4 Reactions
26 Replies
654 Views
Kwa wale wa zoefu wa safari za mabasi tutakua tunaijua vizuri Milima hii Kitonga, Sekenke, Nyoka, Nyangoro, kuwa ni noma yaani mkifika na basi kabla ya kuanza kuupanda au kushuka lazima mpige...
2 Reactions
24 Replies
9K Views
Siku ya leo imekua ngumu, ina uchovu na makasiriko kama yote. Shemeji yenu jina lake limekatwa huko so ameenda kujipooza 🍺 na wajumbe wenzake. Hebu nifundisheni mbinu mpya za kupumzisha akili na...
9 Reactions
135 Replies
3K Views
Juzi nikitoka zangu Mtwara huko nikasema nije kupoa kidogo mjini of course I had a company my OG circle wakami invite bahari beach somewhere knows as jungle tukae chill na my nigas a lot of...
17 Reactions
91 Replies
2K Views
Huyu mbuzi kanona balaa, lakini wanaochepuka kwenye mahusiano yao wataona ni Mbwa.
5 Reactions
18 Replies
945 Views
Nimewa miss humu ndani!! 😘❤️ Nimekuwa nje ya jf 2 yrs🥲 Uzi tayari!!😉
10 Reactions
140 Replies
3K Views
Hello Hii thread ni special kwa Big brother 2025 imeanza ina oneshwa DSTV chanell 198 Je una hisi ya mwaka uhuu itakuwa more na tulizo zoea kuziangalia?
5 Reactions
56 Replies
1K Views
Believe in God
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa letu Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Ni siku sana moyo wangu unakwenda mbio sana nionapo coment za cocochanel yaan mapigo ya moyo hujikuta...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
, SUMBAWANGA WIZARD TRAINING COLLEGE, P.O.BOX 27, RUKWA. 02/02/2019 Ni chuo bora kwa mwaka 2019 kina mazingira mazuri ya kujifunzia, kuna vifaa vingi vya kumwezesha mwanafunzi ajifunze kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapenzi wa movie😅😅😅 Tulishachotwa akili kweli na hawa watengenezaji wa muvi. Hivi lini bongo movie tutafika huku..walishawahi kupata hata Tsh 10Mil???. Issue Ipo hivi.... Muvi ya Avatar ilitoka...
11 Reactions
150 Replies
11K Views
Producer: Upo aje bro, uko tayari? Msanii: Ah niko full kabisa, lakini kuna kipengere, hapa sina cash ila kuna mchongo nausikilizia ntakulipa Alhamis. Producer: wala usihofu, Najua unahaso...
8 Reactions
6 Replies
334 Views
Hello wana Jf leo nilikuwa nasikiliza podcast moja online kuhusiana AI na fursa na faida za AI. Sasa nimekuwa niikitumia tu kwa mazoea AI mfn. kusearch kitu au Kuliza maswali ya kawaida tu...
1 Reactions
3 Replies
306 Views
Nakaribia kustaafu hapa jf kutokana na uzee wangu wa miaka 89 niliyonayo. Mafao nitakayopata, nitayatumia katika uwekezaji wa shamba langu huko kijijini. Shamba langu litakuwa na mpangilio kama...
1 Reactions
12 Replies
540 Views
Wakuu, Msidhani humu duniani mnaozungumza ni binadamu tu lakini hata wanyama wanazungumza kumbe Huyu sijui kaambiwa neno gani maskini hadi kashtuka hivyo
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Dakika za Jioni........ Kwa pozi hili unadhani nini kinaendelea katika ubongo wake kwa sasa?
3 Reactions
2 Replies
573 Views
Unajua kabisa hapa duniani tunapita, wengi kufikisha miaka 90 ni bahati nasibu, kwa nini sasa tunaishi kwa kuteseka? Unaamka asubuhi unawahi kibaruani, mara ufokewe na bosi wako, hayo yote ni ya...
6 Reactions
24 Replies
649 Views
Back
Top Bottom