JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇 Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa nini wasafiri wa ndege huwa hawasali au kufanya dua/maombi ya kuombea safari kwa pamoja kama wasafiri wa bus za abiria? Bus zote za abiria ambazo nimesafiri nazo lazima wafanye maombi hata...
2 Reactions
12 Replies
635 Views
Aisee hii kwangu toka nmejitambua hii siku Huwa inanikuta Sina pesa je ni Mimi tu hii Hali hunitokea? Njooni mtoe ushuhuda wakuu
5 Reactions
19 Replies
629 Views
Habari wadau, Zama hizi kumekuwa na utaratibu wa wamiliki au madereva wa vyombo vya usafiri kuweka jumbe mbalimbali katika vyombo hivyo. Jumbe hizo huwa za aina tofauti tofauti: zipo za majivuno...
1 Reactions
12 Replies
811 Views
Jamani wale wote ambao tumewahi kuchunga wakati tukiwa wadogo kabla hatuja anza shule na hata baada ya kuanza shule yaani ukirudi shule unachunga na zile siku za wikiendi basi wewe ni kwenda...
26 Reactions
104 Replies
12K Views
Nitaanza na hawa Manfried , Covax na Magical power I DOWNT WANT PIS, I WAANT PROBLEMZI ORWEEZ.…
9 Reactions
48 Replies
1K Views
Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga...
10 Reactions
22 Replies
892 Views
Huwa nashangaa sana mtu anasema amenunua wigi la millioni saba. I know I love expensive things lakini there is no way siku nikiwa na mamilioni ya hela nikanunua wigi la millioni 7 au 15. No way 😤...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Hell Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa...
30 Reactions
300 Replies
5K Views
Oya kama unakubali kingereza Cha kocha Moroko weka msemo wake mmoja hapo chini
0 Reactions
7 Replies
469 Views
Wakuu 🔊 Tumekuwa na siku tano za kazi… je, imeshawahi kukutokea ukasahau kitu nyumbani mpaka ukalazimika kurudi kukichukua kwa sababu bila hicho kitu huwezi kabisa kuendelea na kazi yako? 😅...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Nina mgeni wangu ataingia jijini mwezi ujao msaada wenu hotel ya hadhi ya 10 star
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa. Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka. Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Hi people, Title inahusika, Mimi Skanka Wewe je?
33 Reactions
372 Replies
10K Views
Opportunities for higher learning. 1. Wizi wa kura 2. Kutumia vyeti feki 3. Kulipa mishahara hewa 4. Kuanzisha makampuni hewa 5. Kuiba mishahara ya waathirika wa Gongo la Mboto The college is...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Usiku mzima wa jana nimekuwa nafikiria niandike nini au nikwambie nini katika siku yako hii muhimu..! I just can't seem to find the right words to say.. Badala yake nimejikuta nafikiria mbali...
44 Reactions
311 Replies
28K Views
Ndipo nikashuka uwanja wa Aso Kumamoto Airport, nilienjoy sana. Karibu Japan. KONNICHIWA.
5 Reactions
17 Replies
770 Views
Kama nilivojieleza hapo juu mm kijana mwanamme miaka 27 bado nipo kwa dada nakula na kulala sina kazi sina lolote
5 Reactions
30 Replies
937 Views
Je utambulisho wa jf unaweza kumpa mtoto wako au mjukuu kama jina rasmi kwake? Binafsi nikipata mtoto wa kiume nitamuita Kazanazo
7 Reactions
92 Replies
2K Views
Back
Top Bottom