JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu 🔊 Tumekuwa na siku tano za kazi… je, imeshawahi kukutokea ukasahau kitu nyumbani mpaka ukalazimika kurudi kukichukua kwa sababu bila hicho kitu huwezi kabisa kuendelea na kazi yako? 😅...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Nina mgeni wangu ataingia jijini mwezi ujao msaada wenu hotel ya hadhi ya 10 star
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa. Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka. Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Hi people, Title inahusika, Mimi Skanka Wewe je?
33 Reactions
372 Replies
10K Views
Opportunities for higher learning. 1. Wizi wa kura 2. Kutumia vyeti feki 3. Kulipa mishahara hewa 4. Kuanzisha makampuni hewa 5. Kuiba mishahara ya waathirika wa Gongo la Mboto The college is...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Usiku mzima wa jana nimekuwa nafikiria niandike nini au nikwambie nini katika siku yako hii muhimu..! I just can't seem to find the right words to say.. Badala yake nimejikuta nafikiria mbali...
44 Reactions
311 Replies
29K Views
Ndipo nikashuka uwanja wa Aso Kumamoto Airport, nilienjoy sana. Karibu Japan. KONNICHIWA.
5 Reactions
17 Replies
773 Views
Kama nilivojieleza hapo juu mm kijana mwanamme miaka 27 bado nipo kwa dada nakula na kulala sina kazi sina lolote
5 Reactions
30 Replies
943 Views
Je utambulisho wa jf unaweza kumpa mtoto wako au mjukuu kama jina rasmi kwake? Binafsi nikipata mtoto wa kiume nitamuita Kazanazo
7 Reactions
92 Replies
2K Views
Hapa hata wale waliotaka kuwahi kuondoka kwenye kikao wataendelea kusubiri tu. 🤣
10 Reactions
19 Replies
923 Views
Uraibu upi mzuri na upi mbaya Expression zipi ni nzuri na zipi ni mbaya Uraibu (Addiction) Siku zote kuvutiwa na jambo fulani sana uwa inategemea una roho ya namna gani na asili yako ni ipi...
1 Reactions
3 Replies
245 Views
Kulikuwa na kijana moja aliyeitwa Chaupele,aliitwa hivyo kutokana na kuwa na vipele miguuni,siku moja akiwa amekaa nzi wakaanza kumsumbua na kukalia kwe vidonda vyake miguuni,alichofanya siku moja...
9 Reactions
27 Replies
4K Views
Hivi wakuu, kuna App inashinda hii kwa kuonesha majengo au maeneo mbalimbali bila kuacha kitu chochote.. hii App nakubali sana na inanisaidia kupima maeneo shambani kwangu kwa Acre/hekta pia...
2 Reactions
15 Replies
643 Views
Wote tuliomo humu, tukaanzishe timu za mipira kwenye vijiji tulivyotoka. Lengo likiwa ni kuwaboreshea mazingira ya umoja na mshikamano, na pia iwe kama mchango wako katika jamii ulikotoka. Kama...
6 Reactions
22 Replies
824 Views
Nikiwa chumbani mitihani ya supplementary, nikakutana na rafiki yangu… ambaye siku zote alikuwa ananikufundisha! 😂 Nilihisi kama napaswa kumheshimu zaidi au kumtisha kidogo kwa maswali ya mtihani 😅
5 Reactions
12 Replies
980 Views
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa Dr am 4 real PhD kwa kunitumia sh 3000 ya kula na familia yangu leo jioni na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi...
21 Reactions
169 Replies
5K Views
Wakuu, kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya maishani mwako. Kwa upande wangu najutia sana kusoma Bachelor moja kwa moja toka Advance badala ya kuanza diploma au certificate ningekuwa...
6 Reactions
83 Replies
3K Views
Uzi tayari Picha inajieleza
4 Reactions
11 Replies
890 Views
Back
Top Bottom