JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka...
2 Reactions
4 Replies
229 Views
Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii...
7 Reactions
47 Replies
888 Views
Nilikuwa nazawa nitoke road niandamane nikafikiria hivi nikipigwa Shaba na kufa kizembe Mwanamke mrembo kama Lamomy nitamuona wapi ? Mimi sio chawa wala sijavuta bangi I'm The Mafia boss with...
1 Reactions
121 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kama ilivyo kwa wa Tanzania wengine swala la kusoma vitabu ni gumu sana kwetu hasa vijana na mara nyingi wazee ndo wamekuwa na utaratibu huo. Leo nataka ku share na nyinyi my...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu Hii mada ni maalumu kwa wanywa pombe aina zote za kienyeji(gongo,wanzuki na ile ya mtama) na za kisasa (pombe kati na soft) Tuambie kwa nini unakunywa pombe?
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa mwaka huu kama masihara nilijikuta naingia ktk huu mchezo baada ya kujiunga kampuni mojawapo sitoitaja jina. Kwa kifupi ni kwamba kushinda huwa nashinda ila kuliwa ni zaidi. Pili...
10 Reactions
82 Replies
16K Views
Nashukuru sijala chakula cha krismass. Sio rafiki wala jirani aliejaribu kunialika au kuniletea. “Mtu yeyote anayeiga taifa fulani au kundi fulani, yeye ni miongoni mwao.” (Sahih al-Bukhari...
4 Reactions
37 Replies
417 Views
Nimegundua hii trend. Viwanja vyangu vyote vya kumwagilia moyo kila baamedi ninaepiga nae story ananiambia ana mtoto. Ukimuuliza baba mtoto yuko wapi analeta story za hapa na pale. Hii kazi ya...
10 Reactions
33 Replies
672 Views
Kwa upande wako skukuu yako unaenda wapi? Mimi nitakuepo home tu ila natamani niingie town nidake maini yenye utumbo msafi nikapige nayo bia mbili tatu! Kula bia bila maini ikiwa pembeni huo ni...
5 Reactions
14 Replies
217 Views
Leo jitahidi ucheze na watoto wa jirani usipocheza na watoto wa jirani mwaka utaisha bila kula pilau siwafundishi kila kitu.
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Huu ni uzi maalumu wa kutakiana; Kheri Fanaka Afya njema Mafanikio Upendo Amani Furaha n.k Na kwakuwa tuko katika msimu wa sikukuu basi si vibaya tukijuzana nyimbo tam tam za wakati huu..Mimi...
6 Reactions
28 Replies
7K Views
Footballer - 1 week = 200Million Teacher - 500 years = 200Million Doctor - 50 years = 200Million Politician - 15 Minutes = 200Million Drug dealer - 1 day = 200Million Thief - 20 Minutes =...
6 Reactions
40 Replies
574 Views
Yaani ni opportunity in disguise ,ile mamlaka tangu jana wawazuie washikaji wasipashane habari ,vidume kibaooo vimeyeyuka havionekani mjini ban limewakalia kooni,walioko ni vidume tu wa mbegu...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Huu uzi ukiingia kichwa kichwa utaishia kuwa na hasira halafu utatoka bila bila Ila ukiwa makini utatoka na kitu hapa Nimeweka huu uzi baada ya Juzi kuweka tangazo langu la kuuza ac na vitu...
29 Reactions
190 Replies
4K Views
Kula bia kula bia kula bia kula bia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻 Kula bia kula bia kula bia kula bia...bia tamu 😂😂😂😂😂😂😂 we hapa lounge bar tunaondoka tarehe 2 mwakani ni kula bia...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Mimi nimefanana sana na mama, wengi wanaomjua mama wakiniona tu hata kama hawajajua wataniuliza , wewe ni mtoto wa fulani? Huwa wananiambia kua mimi ni mama mtupu. Cha ajabu dada angu yeye...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Usitamani kuwa bora kuliko wengine, Tamani kuwa bora kuliko ulivyokuwa kabla kwani akili huwa ndogo zinaposhughulika na wengine pia huwa kubwa zinaposhughulika na mambo yako.
3 Reactions
2 Replies
95 Views
This December simu za watu kukopa zimekuwa nyingi hadi mtu unaogopa kupokea simu za marafiki hii noma. Mtu unaweza ukawa na pesa kidogo ya kukutosheleza wewe mwenyewe ukianza kugawia kila mtu...
4 Reactions
13 Replies
276 Views
Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na...
3 Reactions
23 Replies
556 Views
Naamini hunijui. Na mimi nakiri kuwa sikujui. Hatujuani! Lakini zamani wakati sijajiunga JF ulikuwa unaandika sana hasa kuhusu ushauri wa kimahusiano, malezi ya watoto, familia, mambo ya kiroho...
32 Reactions
217 Replies
8K Views
Back
Top Bottom