apewe milioni sasa akalete kiwanja
NIngepita kama naaga maiti tungepeana vipi salamu ya #NRNE?Acha makasiriko ndugu mhandisi ungepita tu kama unaaga maiti
No reform No Election
Kuna matukio wengine tuna miss asa pale mtu anapokuwa roasted 😃😃kwahiyo ni nzuri hiiAcha mambo ya facebook. Badala ya kuchangia uzi huko unaanzisha thread ya screen shot ya uzi mwingine....
No reform no election
Naam mkuu nmekusoma!!!Tuko pamoja Kamanda jukwaa la chitchat na Jokes hili
No Reform No Election
😅Yaan hapa umejitahidi sana kuwa mstaarabu MbagaInasikitisha sana
Ustaarabu ndiyo desturi yangu 😎😅Yaan hapa umejitahidi sana kuwa mstaarabu Mbaga
😅Ni kweli kabisaUstaarabu ndiyo desturi yangu 😎
Hiyo avatar ya mla rushwa kweli inasadifu.Kazi ya law enforcement😅
View attachment 3366286