JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukiogeshwa unatakata kuliko uogavyo mwenyewe 😀 kama hujawahi kuogeshwa siku ujaribu rafiki
2 Reactions
8 Replies
350 Views
Dah...Leo nimegonga mvua 70 na ushee...Nilipotoka ni mbali sana..niliyoyafanya ni machache sana ...ninapokwenda ni karibu lakini nina mengi ya kufanya...muda hautoshi...kichwa kinapata...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Sijawahi badilisha hio ni kama id yangu huku porini kama member utanitambua kwa hivo. Je wewe unapandelea ringtone gani au mlio gani kwenye simu yako? I love weeds!
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Cheusimangala ndio namuulizia,nilimuona kabisa cheusii,sijui uko wapi Cheusi. Mikasa ya siku ile niulize nikueleze unajua tulitoka wapi
1 Reactions
1 Replies
316 Views
Mashost wikend leo wapi jamani?
0 Reactions
121 Replies
6K Views
Mtoto wa nyoka ni nyoka ndo maneno ya binadamu. Sometimes Bora rafiki kuliko ndugu wa damu. Ubaya ukizidi sana unakosa hata tabasamu. Dar es salaam kutesa kwa zamu. Yaani Bado siamini kama...
3 Reactions
18 Replies
746 Views
Unaikunbuka simu yako ya kwanza kabisa!? Ilikua ya aina gani?
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Leo nimeamka nikajiuliza hili swali. Maisha hayako fair kabisa, kuna mwingine buku 5 tu tayari analewa, na kabla ya kuzuia viroba buku tu ilitosha kufanya mtu apate starehe hio. Kwa upande wangu...
1 Reactions
42 Replies
1K Views
Afadhali hawa Tigo wamebadilisha hili lililokuwa lisha kuwa na maana ya kishenzi Sema yaaaas Maana sisi mwenye mishe zetu ilikuwa inatukata kweli "Naomba Tigo? "unatigoo hapo? "Tigo unatoa...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Bila shaka maison club ndo club ghali nchini Tz na yenye hadhi ya five star yani nyota5. Hii night club ipo masaki mtaa wa sea cliff. Maison huwez ingia kizembe lazma ufanye booking kama guest...
16 Reactions
219 Replies
24K Views
The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!" Origin: The...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Vipi wakuu, mimi hapa napitia contact list yangu Kuna baadhi ya contacts sizijui kabisa na sikumbuki nilizipata vipi na wapi. Kuna mmoja nimekuta nimemsave "muuza madela" ila sielewi chochote.
0 Reactions
5 Replies
453 Views
Hiki kigari kidogo cha joto kisichokuwa hata na airbag wala accident proof measures za msingi kama automatic turn signal na object detectors CHA AJABU huku nyuma kameandikwa IST na natamani sio...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
wakuu,, Kuna manzi inasema niitumie nauli ije kutoka mko x! Nawasiwasi isije nizima. Mbinu gan nitumie asile nauli wala nikimkatia tiket asiuze
1 Reactions
6 Replies
392 Views
Mimi nimemmisi siku hizi amekuwa adimu Vipi nyie hamjammisi?
4 Reactions
27 Replies
698 Views
Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba Hapa haihitaji elimu kubwa kujua kama huyu mtu ni mpori mpori 1. Kuvaa Yebo na soksi Hapa usiulize sana 2. Mtu asiyetaka kuongeza lugha ya asili hata...
12 Reactions
130 Replies
3K Views
Habari wakuu, Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus. Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Kula vizuri hasa mbogamboga na matunda ,kunywa maji ya kutosha ,lala inavyotakiwa , kama una hofu au mawazo jitahidi kuviepuka ukizingatia hivi huondoa ngozi kusinyaaa na kuifanya iwe na nuru Ila...
8 Reactions
13 Replies
886 Views
Habari za muda huu Wana JF! Kuna hali ya mabadiliko imenitokea kwa kipindi cha miezi mitatu sasa sijanywa pombe. Nikiiona pombe, naikinai na najisikia kutapika. Sikuwa na wazo la kuacha pombe...
10 Reactions
141 Replies
3K Views
Back
Top Bottom