Kweli wahenga walikua sahihi waliposema tembea ili uone mengi, yahani mimi na ukubwa wangu huu nilikua sijui Kama uji ni juice ya mahindi mpaka nilipofika MBEYA.
Kweli wanyakyusa mmetisha sana...
Mswaki uhu wengi wanautumia sana na ili waache kutumia bas labda waone mtoto anauchezea chini au umeangukia chooni vinginevyo utatumika mpaka ulie up one kushoto 🤣🤣 au aende safari af awe...
Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv...
Nimekuja bar nimeagiza supu nimezoea zangu mwanza supu elf 5 had elf6.
Bili inakuja kumbe supu ya samaki huku huwa n elf 30 had 40!
Huyu nilokula ni elf 40.
NIMEWAMBIA NAKUJA NIKO CHOONI NALIA
Wengi tuna magroup ya wasp ambayo mengine ya ovyo mengine ya heshima je katika hayo magroup ushawai tongozwa na mtu katika hayo magroup kwa wanawake au wanaume au ushawai kutongoza na wewe ulikuwa...
Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee?
Wahenga kipindi kipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.