Maison club

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,039
Bila shaka maison club ndo club ghali nchini Tz na yenye hadhi ya five star yani nyota5. Hii night club ipo masaki mtaa wa sea cliff. Maison huwez ingia kizembe lazma ufanye booking kama guest list before hapo ndo utaruhusiwa ingia ndani.

Kwa upande wa reservation bei zao zinaanza na 220,000- 12,000,000 sio poa. Kwa wale wa kupenda pisi kali hapa kuna kila aina ya pisi mfuko wako tu.

Ukitaka ujue Tanzania watu wanatumia pesa ingia hata siku1 tu uone watu wanavotumia pesa. Sisi wengine tuendelee kuvimba kitambaa cheupe.
IMG_8436.jpg

IMG_8434.jpg

IMG_8435.jpg

IMG_8475.jpg

IMG_8474.jpg

IMG_8473.jpg

IMG_8471.jpg

IMG_8468.jpg

IMG_8470.jpg
 
Kwangu na wewe ni nyingi, kwake ni ndogo maana laki mbili kitambaa cheupe haiwezi kuisha ukizingatia ni mwendo wa kiwingu tu mixer nyama choma, maison watu wanakamata classic spirit na wengi wao ni wasafiri akitoka pale jioni anakupigia yuko USA

Fact mzee tukakiwashe nn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom