Happy Birthday to mie


Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,323
Likes
5,336
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,323 5,336 280
Dah...Leo nimegonga mvua 70 na ushee...Nilipotoka ni mbali sana..niliyoyafanya ni machache sana ...ninapokwenda ni karibu lakini nina mengi ya kufanya...muda hautoshi...kichwa kinapata moto...Kitaeleweka tuu ...Dah :rolleyes::rolleyes::rolleyes:

upload_2016-12-1_9-15-40-jpeg.441588
 
Munni

Munni

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2016
Messages
301
Likes
329
Points
80
Munni

Munni

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2016
301 329 80
happy birthday kwako ila kwa umri huo ni vyema kuchongesha jeneza sasa mana ni kipindi cha mwishoni kwako hahahaaahaahaa!!!!!!!!
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
6,731
Likes
15,978
Points
280
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
6,731 15,978 280
Happy birthday to you
Kwa umri huo mrudie Mungu sasa
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,323
Likes
5,336
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,323 5,336 280
happy birthday kwako ila kwa umri huo ni vyema kuchongesha jeneza sasa mana ni kipindi cha mwishoni kwako hahahaaahaahaa!!!!!!!!
Dah..asante sana....sina mpango huo kwa sasa....ninajipanga kuongeza 70 nyingine :):)
 
Munni

Munni

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2016
Messages
301
Likes
329
Points
80
Munni

Munni

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2016
301 329 80
Dah..asante sana....sina mpango huo kwa sasa....ninajipanga kuongeza 70 nyingine :):)
Hahahhahaa....!!!!
kwa hali ilivyo ngumu sasa nahofia unaweza bebwa kwenye box au mkeka.
hahahaà
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,780
Likes
27,986
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,780 27,986 280
mie siamini kama kweli umefikisha 70 japo sikukuzaa mie na wala sina cheti chako cha kuzaliwa wala kadi ya kliniki!
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,323
Likes
5,336
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,323 5,336 280
Anytime funguo zinaweza kurudi
Bora kurudi msafi ;)
Dah...hakuna kitu kama hicho...kila kitu ni kujipanga tu..mbona wengine wanarudisha funguo kabla hata kupiga kura?
 
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Messages
1,566
Likes
1,304
Points
280
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2015
1,566 1,304 280
ubarikiwe sana ktk kuisherehekea siku yako ya kuzaliwa.
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,323
Likes
5,336
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,323 5,336 280
Dah....mwaka mwingine tena....bado mengi ya kufanya....kichwa kinapata moto....kitaeleweka tu
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
15,462
Likes
39,296
Points
280
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
15,462 39,296 280
Happy belated birthday, badilika mkuu kuwa na roho nzuri sasa.
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
15,462
Likes
39,296
Points
280
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
15,462 39,296 280
Hivi ni kweli umekula christmass 70?
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,323
Likes
5,336
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,323 5,336 280
Dah....Bado nasonga mbele...nyuma mwiko...mwaka mwingine the umepita.....ninapotoka mbali...nimefanya machache sana...bado mengi yananisubiri...siku za kuishi zinazidi kupungua...I mean nazeeka...nitaota mvi....baadaye nitakuwa na wajukuu...wataniita Babu... Babu... Happy birthday and Long live kwangu... Dah
 

Forum statistics

Threads 1,275,212
Members 490,932
Posts 30,535,930