JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama Unaweza Kudhani Najikomba kwa mods USHINDWE VIBAYA KWA JINA LANGU Waswahili husema usione vyaelea vimeundwa na chanda chema huvikwa pete hongereni sana kwa muundo mpya niwe wazi kwamba na...
1 Reactions
0 Replies
936 Views
Mama mmoja mjamzito jirani yetu hapa alikaa jikoni na mtoto wake. Bahati mbaya akajisahau akakaa vibaya mtoto akaona m*vuzi akaropoka, "Mama safari hii utazaa dume." Mama yake akauliza, "Kwanini...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kijana mmoja aliyefikia umri wa kubalehe alikuwa analala chumba kimoja na house girl. Chumbani kulikuwa na kitanda cha double decker, kijana analala chini house girl analala juu basi kijana kwa...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati natoka mazoezini nimekutana na dada mmoja nikamsalimia, "Dada habari?" Akanijibu, "Unikome mi mke wa mtu." Nikamwambia, "Sawaa." Nikaondoka zangu hata sijafika mbali nikastuka yule dada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bilinge bayoyo bilinge bayoyo x2 Namuomba dada Andunje akae chini tuyaone maringo yake bingili bingili mpaka chini (Hapo dada Andunje anakata kiuno balaa tehe tehe tehe!)
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na sinema ya bure humu JF. Mkuu Simiyu Yetu aliweka bandiko lake kwenye Jukwaa la Siasa akidai kuwa yuko Arusha na ametafiti jambo. Ametafiti na kujua kuwa Lowassa hakubaliki Arusha...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Salaam wakuu... JF ina majukwaa mengi, zaidi ya kumi. Hivi ni jukwaa gani haujawai hata siku moja kulifungua na hata kusoma post zake? Hapa namaanisha haulielewagi...
0 Reactions
4 Replies
775 Views
Hello, From the other side naomba kujuzwa hivi Tyta yuko wapi? Moja ya watu muhimu sana hapa JF kwenye suala la picha mbalimbali.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya wanachichat wote. Namshukuru sana Mungu kunifikisha hapa kwa sababu leo miaka dazani kadhaa iliyopita nilizaliwa. Thanks God, today is my birthday!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa wale WANAOJITEGEMEA na wamepanga Nyumba au chumba, hivi huwa unajisikiaje pale tarehe za kulipa kodi zinapokaribia na huna kitu mfukoni na ukifikiria mwenye nyumba ni BANDIDU, au hata kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msamaha wa kweli unahitaji Neema ya Mungu. Sikiliza hii, Kuna jamaa mmoja na Mkewe walikuwa wanasafiri kuelekea Italia kwa safari ya kibiashara kwa ndege. Wakiwa angani likatoka tangazo kwamba...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
MADA mkeo anarudi nyumbani kavimba vibaya!, unamuuliza anakujibu Kuwa kakutana Na vibaka wamemvamia, ila ukimcheki kila kitu chake karudi nacho, unapeleza unagundua kapigwa Na mchepuko wake...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
CCM ni ile ile oh ni ile ile (Tumejipanga mwaka huu wataisomaa)x2 Papa la papa mwaka huu wataisomaa x2
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyumba nzuri sana ina uzwa bei ni Tshs 3ms tu ipo Ars sehemu nzuri ina X pande zote 4 ila zinafutika vizuri sana na mtu kuishi vizuri
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mama mpenda UMBEA alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya kuzamia Ulaya jamaa yangu mmoja kutoka Nyanda za juu kusini, kijiji chao kikiwa jirani kabisa na kijiji chetu, hatimae akawa anaishi Uswisi. Lakini maisha yake yalikuwa ya kujifichaficha...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari humu, Mi ni mzima tu, jf sasa imekuwa maarufu na yenye manufaa sana tena zaid sana imekuwa sehemu muhimu ya kuondoa msongo wa mawazo, ila usipokuwa makini unaweza kutoka huku umekasirika...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Iko Kinondoni ni ya kisasa tiles,kila kitu poa..Shida moja tuu imepigwa X lakini iyo X inafutika kirahisi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This what is so called sense of humuor....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom