Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Mama mmoja mjamzito jirani yetu hapa alikaa jikoni na mtoto wake. Bahati mbaya akajisahau akakaa vibaya mtoto akaona m*vuzi akaropoka, "Mama safari hii utazaa dume." Mama yake akauliza, "Kwanini mwanangu?" Mtoto akajibu, "Namuona mdogo'angu ndevu zimeshatangulia."
Mama yake alipojiangalia akagundua amekaa vibaya mtoto kaona Ikulu tehe tehe tehe jamani kumbukeni kunyoa!
Mama yake alipojiangalia akagundua amekaa vibaya mtoto kaona Ikulu tehe tehe tehe jamani kumbukeni kunyoa!
Last edited: