Jukwaa gani haujawahi kulifungua?

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Salaam wakuu...

JF ina majukwaa mengi, zaidi ya kumi. Hivi ni jukwaa gani haujawai hata siku moja kulifungua na hata kusoma post zake? Hapa namaanisha haulielewagi...
 
majukwaa yoote ya kenya!sijawahi kugusa kabisa kule na hata huwa sinaga hizo hisia!
 
Back
Top Bottom