Hongereni Sana Mods Kwa Mfumo Mpya

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Kama Unaweza Kudhani Najikomba kwa mods USHINDWE VIBAYA KWA JINA LANGU

Waswahili husema usione vyaelea vimeundwa na chanda chema huvikwa pete

hongereni sana kwa muundo mpya

niwe wazi kwamba na enjoy sana sana sana japo najua hakuna barabara isiyo na kona wala hakuna masika yasiyo na mbu na hata Dr Remmy aliimba mwanamke mzuri hakosi kasoro


keep it up

download.jpg
 
Back
Top Bottom