Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Wakati natoka mazoezini nimekutana na dada mmoja nikamsalimia, "Dada habari?" Akanijibu, "Unikome mi mke wa mtu." Nikamwambia, "Sawaa." Nikaondoka zangu hata sijafika mbali nikastuka yule dada kanishika bega eti, "Kaka samahani hujani okotea pochi langu?" Ase kidogo nimchape makofi, lakini nikamuacha!