Zilipendwa: Umewahi kuicheza hii nyimbo?

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,564
1,991
Bilinge bayoyo bilinge bayoyo x2

Namuomba dada Andunje akae chini tuyaone maringo yake bingili bingili mpaka chini (Hapo dada Andunje anakata kiuno balaa tehe tehe tehe!)
 
Mkuu sikiliza nyimbo ya Rais Wa Wasafi Diamond Plutnumz bbeeeiiib....Inaitwa Hellow new:
Ametia kionjo cha huu mchezo wetu wa zaman tukiwa vidudu. Naamini utaupenda
 
Back
Top Bottom