kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,815
Habari humu,
Mi ni mzima tu, jf sasa imekuwa maarufu na yenye manufaa sana tena zaid sana imekuwa sehemu muhimu ya kuondoa msongo wa mawazo, ila usipokuwa makini unaweza kutoka huku umekasirika na umevimba hatari sana na kutokana na hasira kali ukajikuta unatoa maush*z mengi mengi. Anyway ni hivi jf kuna makundi yote ya watu, kuna matajiri, maskini, kuna wale maskini jeuri, kuna wale matajiri wa kwenye keyboard, kuna wambeya kupindukia huku, kuna wezi vile Vile pia kuna wacha Mungu, lazma kuna wajuaji huku pia wapo wanoishi maisha ya kuigiza huku anaweza akasema jana kipind nadrive kumbe yupo hata uwezo wa kupata laki 1 kwa mwezi Hana tena anaishi kwa shemej au kwa kaka binamu,,, humu bhana kila mwanamke ni mzuri na ni classic hatari sana na kuna wengine wengi, kifupi wapo watu wa kila Aina.. Sasa ukitaka mada yako iharibike yaan uwe stressed we jichanganye kutoa mada yoyote ya kujisifia, nakuambia utabadili Id faster sana. Hivyo basi muhimu kuepuka kutaja vifuatavyo :
1.kusafiri kwa ndege
2.Kufanya kazi TRA, bandarin na taasisi zingine kubwa zenye mtonyo wa maana
3 .Kuwa na gari kali ya hela ndefu
4.Kujisia umewahi kwenda London, Paris, New York na miji mikubwa na maarufu kweny sayari hii ya 3
5.Kutaja taja sijui iPhone, masaki, kuonana na bakhresa au sjuy mengi na kadhalika
6.Mengine yoyote ya kujionesha unapenda watu wakujue wew ni level zingine yaan za juu kupita maelezo
Thread yako hata kama ikiwa na maana ukijifanya kuonesha una Hali hizo hapo juu utashukiwa na maneno na utaenda kulala hata kama hauna usingizi...