Thanks God!

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,240
4,263
Heri ya mwaka mpya wanachichat wote.
Namshukuru sana Mungu kunifikisha hapa kwa sababu leo miaka dazani kadhaa iliyopita nilizaliwa.
Thanks God, today is my birthday!
 
Heri ya siku yako ya kuzaliwa mkuu.

Live long and God bless you.
 
Nilikuwa
Heri ya mwaka mpya wanachichat wote.
Namshukuru sana Mungu kunifikisha hapa kwa sababu leo miaka dazani kadhaa iliyopita nilizaliwa.
Thanks God, today is my birthday!
Nilikuwa sijapita huku happy birthday ndugu.
 
Heri ya mwaka mpya wanachichat wote.
Namshukuru sana Mungu kunifikisha hapa kwa sababu leo miaka dazani kadhaa iliyopita nilizaliwa.
Thanks God, today is my birthday!

Makumbusho ya siku yako ya kuzaliwa yamekaa vizuri sana, sikukuu ya kila mtu. Uishi maisha marefu yenye heri mkuu.
 
happy-happy-birthday-happy-birthday-cake.jpg
 
Heri ya mwaka mpya wanachichat wote.
Namshukuru sana Mungu kunifikisha hapa kwa sababu leo miaka dazani kadhaa iliyopita nilizaliwa.
Thanks God, today is my birthday!
Party wapi nije kumwagia watu maji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom