Balehe ni shida!

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,564
1,991
Kijana mmoja aliyefikia umri wa kubalehe alikuwa
analala chumba kimoja na
house girl. Chumbani kulikuwa
na kitanda cha double decker, kijana analala chini house girl
analala juu basi kijana kwa usongo aliokuwanao usiku akapanga kumnyatia house girl ili atimize lengo lake.

Usiku wa manane kijana akanyata akapanda mpaka kitanda cha juu
kabla hajafanya mambo yule
house girl akastuka akawasha taa
akamuuliza, "vipi?" Yule kijana
akafikicha fikicha macho akasema, "Aa samahani dada nimejikuta
nimedondoka kutoka chini kwenda juu."

Tehe tehe tehe kilichoendelea mi sijui!
 
Back
Top Bottom