Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu.
Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo...
Naomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali.
Nitakuwa na Mzuka wa Kuiangalia Mechi ya Yanga FC na Monastir pale tu nikisikia TP Mazembe FC...
Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa.
Wakaitwa watu wanachezea benchi...
Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama?
Huu ubishani wa...
Baada ya jana Mnyama mkali kuwakilisha vema na kuipeperusha bendera ya Mama Samia barani Afrika, duru za kimataifa zinasema furaha ya jana inaenda kutiwa doa leo pale kwa Ben.
Wazee wa...
Mimi kama shabiki wa US MONASTIR tawi la al hilal upande wa Rivers united nasema hvi UTO tunamnyoosha hapo hapo kwa uchezaji wake ule kama wanacheza upatu.
Mashabiki wa UTO njooni na panadol...
Kipindi kama cha wiki mbili zilizopita, nilileta uzi juu ya tuwatahadharisha wachambuzi uchwara kuwa ni kweli Simba yaweza kuwa mbovu ukilinganisha na Simba ya miaka 2 iliyo pita, ila ubovu wake...
Horoya kwa namna wanavyocheza ilikuwa halali wapigwe nyingi, kwanza hawakumuheshimu mpinzani ambaye yuko nyumbani kwake, wameingia kwenye mchezo wakafunguka kuanzia dk ya kwanza ya mchezo, na hapo...
Salaam wana Msimbazi,
Niwapongeze wote kwa ushindi mzito na mnene tulioupata leo dhidi ya timu ya Horoya kutoka Guinea.
Muhimu ushindi huu mzito tulioupata nyumbani, tutambue utaamsha ari ya...
Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu.
Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika...
Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:-
-Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atatoa sare 1-1 na kufikisha point 7 huku Horoya akifikisha point 5. Simba...
Kitendo cha ZlatanI Ibrahimovic kucheka na nyavu akiwa na AC Milan kimeweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Ligi Kuu ya Italia ‘Serie A’ kufunga goli.
Akiwa na...
Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0.
Tatizo linaanza mchezo wa jana...
Leo mke wa balozi wa nyumba kumi wa mtaa wa CHIMBA UNYE kapata umbea wa mkazi mmoja mgeni aliyekuja kuwatembelea nyumbani kwao.
Pamoja na udhaifu wa mgeni hasa katika kuficha siri zake, mwenyeji...
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema...
CLUB YETU YA JAMUHURI YA WAPAMBANAJI FC INAYOUNDWA NA WATOTO PAMOJA NA VIJANA WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI (MTAANI) IKIWA MAZOEZINI KWENYE UWANJA WAKE WA NYUMBANI MAKONGO JUU, WILAYA YA KINONDONI -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.