Mo Dewji: Amekuwa akinitukana, nimemsamehe sina kinyongo na Haji Manara

Qatif

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
379
859
Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Sports, Mohammed Dewji Mo, kwa mara ya kwanza amezungumzia mahusiano yake na aliyekuwa msemaji wa klabu hiyo Haji Manara na kudai kuwa Manara amekuwa akimtukana na anaendelea kumtukana lakini yeye hana kinyongo naye huku akibainisha kuwa amemsamehe na kwamba amemuachia Mungu.

"Turudi kwa huyu ndugu yetu tumefanya naye kazi vizuri, najua kwamba alikuwa akinutukana na anaendelea kunitukana"

"Lakini Mimi nimemsamehe, kwani maisha ni mafupi, yamepita na hata akiendelea kunitukana mimi namsamehe na siyo yeye kuna wengine pia ambao wananisema vibaya na kunitukana"

"Mimi ni aina ya mtu ambaye siweki chuki ndani ya moyo wangu, Mungu amenijalia vitu viwili, kwanza sina wivu na mtu, pili sibaki na kinyongo, maanake ikitokea jambo mimi nasamehe namwachia mwenyezi Mungu".

Amesema haya MO kwenye sehemu ya mahojiano kuhusu Klabu ya Simba Sports.
 
Yeye azidi umaarufu mo amzidi pesa unaweza ku relate hivyo vitu umaarufu bila pesa ndio maana hata wanawake wanakimbia unabaki kupokonya hadi simu ulizowanunulia😂😂😂😂 umaarufu wa manara hauleti changamoto kwa mo bado jamaa atabaki kwenye chati ya matajiri wa afrika manara atabaki kwenye chati ya mazeruzeru wasioswaki😂😂😂😂
 
Muhindi anajitokeza only pale makolo tunapofanya vizuri ......

Pia Nani asiyejua kuwa ana wivu na manara Baada ya kumzidi umaarufu
Umaarufu labda wa kutukana na kejeli lakini si kwa maana ya halisi ya Umaarufu.

Hapo aliposema kuwa si yeye Haji hata wengine wanamtukana mmojawapo wewe.
 
Wenye sifa hizo huwa hawaongei sana ni vitendo tu!
Mtu mpole, mkarimu, mkali n.k mtaona tu kwa vitendo siyo mpaka ajiongelee!
Ni kweli, lakini kwenye sakata hilo Mo amekaa muda mrefu hakutaka kuongea, lakini amelazimika kujibu swali la Mwandishi ambaye alichomekea ila mata ilikuwa kuhusu Klabu ya Simba SC.
 
Yeye azidi umaarufu mo amzidi pesa unaweza ku relate hivyo vitu umaarufu bila pesa ndio maana hata wanawake wanakimbia unabaki kupokonya hadi simu ulizowanunulia umaarufu wa manara hauleti changamoto kwa mo bado jamaa atabaki kwenye chati ya matajiri wa afrika manara atabaki kwenye chati ya mazeruzeru wasioswaki
Takadini apewe mswaki harakaa sanaa, kwann meno yafanane na rangi ya ngozi.???
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom