uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,047
- 8,584
Mashabiki wa bayern munich wanalalamika Sadio Mane haonyeshi kile alichokifanya Liverpool kwa miaka mitano
Ila kwa watu wa mpira tulimuona Sadio Mane msimu wa mwisho akiwa Liverpool alikuwa hoi na taabani uwanjani
Hakuna mtu aliyeniboa km Sadio Mane kwenye fainali ya madrid na liverpool uefa he was playing like a young man learning to pass a ball
Uwezo wa Mane ulijengwa zaidi kwenye intesity yake na pace anapokuwa uwanjani ila kule bayern ni tofauti hana madhara mbele ya mpinzani
Sadio Mane anapoteza sana mpira anapokabwa
Anachelewa kutoa pasi
Anapewa pass anakuwa out of position
Mara nyingi akipewa pasi anakuwa eneo la kuotea
Pale Bayern wametimua kocha nachelea kusema Sadio Mane ndiyo alimkosesha bwana mdogo Neglensiman kibarua pale Bayern. Amekuja kocha mpya tuchel, hawa makocha kimbinu hawatofautiani wote wana demand intesity ya ya hali ya juu kwa mchezaji! Je sadio mane atatoboa?
Kisaikolojia Sadio Mane ni dhaifu sana anapenda kuzira je atatoboa kwa wajerumani?
Toka break ya kombe la Dunia liishe Sadio Mane hajaingiza mpira wavuni wala kutoa usaidizi wa goal