Kuwa kwako Mwandishi wa habari kusikung'oe ubongo .
Hivi Simba hii hukuwahi kuiona ?
Heshima ni kitu cha bure ukae ukijua hilo .
Pamoja na umuhimu wa Katiba mpya lakini huku ulikoenda siko
===============
Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa...
🥇 KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amefikisha clean sheet 16 katika Ligi Kuu na zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari ametangazwa Kipa Bora wa msimu kutoka...
Natumaini wazima,
Najikita kwenye uzi nikiwa nimechunguza na nikagundua ndani pa Simba kuna moto unawaka taratibu siku huu moto utakuja kulipuka paaaaah. Viongozi na mashabiki watakimbiana, Mo...
“...Hii adhabu CAF wametupa kutokana na kuwasha moto sisi kwenye Mpira wa Afrika bado ni wanafunzi lakini kuna mamasta wa hayo mambo, mfano timu za Kaskazini na huoni kama wameadhibiwa. Nawaomba...
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga ya Dares Salaam, Stephane Aziz Ki amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed...
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) imeitoza Klabu ya Yanga faini ya jumla ya dola Elfu 35 (takribani Tsh milioni 82) kwa matukio kadhaa kuhusiana na klabu ya Rivers United ya...
Kabla ya mchezo niliandika uzi ulisema Azam atashinda au atadroo mbele ya simba sc na kweli ikawa hivyo.
Tatizo lilianzia kwa Ahmedy Ally baada ya kuzungumza maneno yakukatisha tamaa/kukata tamaa...
KOCHA NASREDDINE NABI:
“Tunatakiwa kuwa makini na huu mchezo wa nyumbani, watu wanasema tunatakiwa kushinda mabao mengi, wako sahihi, kwangu mimi ni tofauti kidogo tunachotakiwa ni kuwa makini...
NABI:
Tunatakiwa kuwa makini na huu mchezo wa nyumbani, watu wanasema tunatakiwa kushinda mabao mengi, wako sahihi, kwangu mimi ni tofauti kidogo tunachotakiwa ni kuwa makini tusiruhusu bao hapa...
MZIZIMA DERBY
Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Azam Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la NANGWANDA SIJAONA Mkoani Mtwara
Ni mchezo...
Kamati ya nidhamu ya CAF imeipiga faini klabu ya Yanga ya jumla ya dola za Kimarekani elfu 35 ($35,000) kiasi kama milioni 80.5 za Kitanzania kwa makosa makubwa 2.
1. Matumizi ya fataki kwenye...
Yanga wana kikosi kizuri sana cha kushindana ligi ya ndani hilo halina ubishi, lipo dhahiri shahiri wala hatupingi ila kuna tatizo mahali kwenye michuano ya kimataifa.
Mfano Simba walienda kambi...
Kumbuka mimi ni mtu wa mpira na nilishacheza mpira katika kiwango cha juu sana mpaka nikapewa jina la ALPHONCE MODESTE
SIMBA ANAPITA KUENDA ROBO KWA HESABU HIZI ZIFUATAZO KATIKA MECHI NNE ZA...
Habarini Wanamichezo,
Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa
Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini...
Kocha na benchi la ufundi la Simba sc pamoja na mashabiki wa Simba bado hawajarudi mchezoni toka wafe kiume kule uarabuni.
Mbaya zaidi na namungo kapiga kwenye mshono /kadroo na Simba hicho...
Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni.....
1. Clatous Chama...
Najua baada ya matokeo ya leo kauli zenu Wanasimba zitakazotapakaa ni kwamba mtajiandaa kwa msimu ujao, licha ya kua mlisema nguvu zenu mumezielekeza fa[emoji23][emoji23]
Ningeomba niwatoe...
Ndugu Mo Dewji, Salim Tryagain na Mutaza Mangungu, Nini mnaweza kutuambia mashabiki tukawaelewa baada ya leo kuhitimisha msimu Simba ikikosa makombe yote? Simba imekosa ubingwa wa ngao ya Jamii...
Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.